-
UN: Mamilioni ya watu wanahitajia misaada ya chakula katika eneo la Ziwa Chad
May 16, 2016 23:46Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, mamilioni ya watu katika eneo la Ziwa Chad barani Afrika wanahitajia misaada ya chakula.
-
DRC: Madai kuwa tumepokea silaha kutoka Korea Kaskazini ni kichekesho
May 16, 2016 03:20Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imepuuzilia mbali ripoti ya siri ya Umoja wa Mataifa iliyodai kuwa nchi hiyo imekuwa ikipokea silaha kutoka Korea Kaskazini.
-
UN: Jeshi la DRC liliwasaidia waasi wa Uganda kuua Wakongomani
May 15, 2016 09:31Ripoti ya siri ya Baraza la Usalama la Umoja wa Matafa imefichua kuwa, kamanda mwandamizi wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo alifadhili na kulipa silaha kundi la waasi wa Uganda la ADF kuua raia wa nchi hiyo.
-
UN yaikosoa Kenya kwa kupanga kufunga kambi za wakimbizi
May 10, 2016 02:28Umoja wa Mataifa umeitaka serikali ya Kenya kufikiria upya mpango wake wa kufunga kambi za wakimbizi za Dadaab na Kakuma.
-
Mjumbe wa Venezuela ashindwa kuvumilia jinai za Israel
May 07, 2016 23:17Wawakilishi wa Venezuela na utawala wa Kizayuni wa Israel wameshambuliana kwa maneno katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusiana na Palestina.
-
UN yagundua makaburi 50 ya umati nchini Iraq
May 07, 2016 03:10Umoja wa Mataifa umesema makaburi ya umati zaidi ya 50 yamegunduliwa katika maeneo mbali mbali ya Iraq, baada ya vikosi vya serikali kuchukua udhibiti wa maeneo yaliyokuwa chini ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
UN: Israel inaeneza uongo kuhusu Palestina
May 02, 2016 23:29Mratibu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa ameulaumu utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kueneza uongo dhidi ya Wapalestina.
-
Umoja wa Mataifa: 741 waliuawa mwezi Aprili nchini Iraq
May 01, 2016 23:33Takwimu za hivi punde za Umoja wa Mataifa zinaonyesha kuwa idadi ya watu waliouawa katika machafuko na wimbi la mashambulizi ya kigaidi nchini Iraq mwezi uliopita wa Aprili ni watu 741.
-
UN kuingilia kati hatua ya Marekani kupora dola bilioni za Iran
Apr 30, 2016 03:11Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema yuko tayari kuutafutia ufumbuzi mgogoro kati ya Iran na Marekani kuhusu hatua ya Washington kuzuia mali za Tehran katika benki zake.
-
Yumkini idadi ya waliouawa Burundi imepindukia 1,000
Apr 28, 2016 10:46Umoja wa Mataifa umetaarifiwa kuwa idadi ya watu waliouawa katika mgogoro wa kisiasa nchini Burundi yumkini imepindukia watu 1,000.