-
Mogherini asisitiza kuhusu kulindwa mapatano ya nyuklia ya Iran huku undumakuwili wa EU ukiendelea
Apr 17, 2018 03:48Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya Federica Mogherini amesistiza kuhusu kulindwa mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA.
-
Iran yajibu ripoti ya uongo ya nchi nne za Kiarabu dhidi yake
Apr 13, 2018 03:18Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Bahram Qassemi amekosoa ripoti ya pamoja ya nchi nne za Kiarabu iliyotolewa mbele ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Ahmed Aboul-Gheit na kusema ni ya uongo na isiyo na ithibati yoyote.
-
EU yataka kukomeshwa mzingiro wa Ghaza
Mar 31, 2018 23:42Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya ameutaka utawala wa Kizayuni wa Israel ukomeshe mara moja kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina na pia uache kuuzingira Ukanda wa Ghaza.
-
Jibu madhubuti la Russia kwa hatua ya nchi za Umoja wa Ulaya
Mar 31, 2018 10:14Serikali ya Russia ilitangaza jana Ijumaa kuwa itawafukuza wanadiplomasia 59 wa nchi 23 tofauti walioko nchini humo. Uamuzi huo wa Moscow umechukuliwa kujibu hatua ya nchi hizo ya kuwafukuza kwa mpigo wanadiplomasia wa Russia. Katika jibu na radiamali yake kwa hatua ya kufukuzwa wanadiplomasia wake, serikali ya Moscow imechukua uamuzi wa kuwafukuza wanadiplomasia 41 wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya.
-
EU yabainisha wasiwasi wake kuhusu hali ya kibinadamu nchini Kongo
Mar 25, 2018 23:53Umoja wa Ulaya umeeleza wasiwasi wake kuhusu kuzidi kuwa mbaya hali ya kibinadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Msimamo wa viongozi wa EU dhidi ya Russia; kufuata mdundo wa ngoma inayopigwa na Uingereza
Mar 24, 2018 02:43Viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya wameamua katika kikao chao walichofanya kwenye makao makuu ya umoja huo yaliyoko mjini Brussels kuchukua msimamo mmoja wa kuiunga mkono Uingereza dhidi ya Russia.
-
Iran haifanyi mazungumzo tena kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA
Mar 16, 2018 03:20Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuwa katu haitakubali kufanyika mazungumzo mapya kuhusu mapatano ya nyuklia baina yake na mdola sita makubwa duniani.
-
Mbunge wa UK: EU imefanya duru 14 za mazungumzo ya siri na Korea Kaskazini
Mar 15, 2018 03:16Mbunge wa chama cha Wahafidhina cha Uingereza katika bunge la Umoja wa Ulaya amesema mazungumzo ya siri yaliyofanywa katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita na ujumbe wa wabunge wa bunge la EU na maafisa wa Korea Kaskazini ndiyo yaliyoifanya nchi hiyo ishawishike kuachana na shughuli zake za nyuklia.
-
Iran: Hatufanyi mazungumzo na EU kuhusu kuimarika ushawishi wetu M/Kati
Mar 04, 2018 00:02Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekadhibisha ripoti zilizodai kuwa Tehran na nchi kadhaa za Umoja wa Ulaya EU zimeanza kufanya mazungumzo kuhusu nafasi ya taifa hili katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
EU: Vitongoji vyote vya walowezi wa Kiyahudi ni haramu
Feb 27, 2018 10:44Federica Mogherini, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema vitongoji vyote vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ni haramu na vizingiti vya kupatikana amani Mashariki ya Kati.