-
Bunge la EU lataka Saudia iwekewe vikwazo vya silaha
Dec 01, 2017 04:21Wabunge wa Umoja wa Ulaya wamepiga kura kwa kishindo kuunga mkono azimio linalotaka EU iiwekee vikwazo vya silaha Saudi Arabia, inayoongoza katika mauaji na hujuma za kijeshi dhidi ya Yemen.
-
Kikao cha tano cha Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya nchini Ivory Coast
Nov 30, 2017 08:10Kikao cha tano cha Umoja wa Afrika (AU) na Umoja wa Ulaya (EU) kilianza hapo jana na kuendelea hadi leo katika mji mkuu wa Ivory Coast, Abidjan.
-
Kikao cha tano cha pamoja cha AU na EU chafanyika nchini Ivory Coast
Nov 30, 2017 04:38Kikao cha tano cha pamoja cha Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya kilianza rasmi hapo jana katika mji mkuu wa Ivory Coast, Abidjan.
-
Umoja wa Ulaya walalamikia jinai za Israel
Nov 27, 2017 12:03Umoja wa Ulaya umeutaka utawala ghasibu wa Kizayuni ukomeshe kuvunja nyumba za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
EU yaipa Uingereza siku 10 kuamua kuhusu kujitoa katika umoja huo
Nov 25, 2017 00:51Donald Tusk, mkuu wa Baraza la Umoja wa Ulaya ameipa Uingereza muda wa siku 10 kuhakikisha kunapatikana maendeleo ya kuridhisha katika mjadala wa kujitoa nchi hiyo kwenye Umoja wa Ulaya.
-
Mogherini aunga mkono makubaliano ya Bangladesh na Myanmar ya kurejea Waislamu Warohingya
Nov 24, 2017 03:42Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa umoja huo unaunga mkono makubaliano yaliyofikiwa kati ya Bangladesh na Myanmar ya kurejea nyumbani wakimbizi wa Kiislamu wa jamii ya Rohingya.
-
AU: Ulaya unahusika katika matatizo yanayolikumba bara la Afrika
Nov 24, 2017 00:49Mwenyekiti wa hivi sasa wa Umoja wa Afrika, Rais Alpha Condé wa Guinea Conakry amesema kuwa, Umoja wa Ulaya unahusika katika sehemu ya matatizo yanayolikabili bara la Afrika.
-
EU: Hakuna uwezekano wa kujadiliwa upya makubaliano ya nyuklia ya Iran
Nov 21, 2017 10:48Afisa mwandamizi wa taasisi moja ya Umoja wa Ulaya amesema hakuna uwezekano wala mpango wowote wa kuyadili upya makubaliano ya nyuklia ya Iran.
-
Nchi kadhaa za Ulaya zakubali kupokea wakimbizi
Nov 18, 2017 03:30Nchi kadhaa za Umoja wa Ulaya zimeafiki kupokea wakimbizi wapya baada ya tahadhari iliyotolewa na Umoja wa Mataifa.
-
UN: Kitendo cha EU kuisaidia Libya kuwazuilia wakimbizi sio cha kibinadamu
Nov 15, 2017 03:53Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema sera ya Umoja wa Ulaya ya kuwasaidia maafisa wa serikali ya Libya kuwazuilia wakimbizi wanaotaka kwenda Ulaya kupitia safari hatari za baharini ni kitendo kisicho cha ubinadamu.