-
UNICEF: Watoto milioni 11 wa Yemen wanahitajia misaada ya kibinadamu
Jan 31, 2018 08:02Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetangaza kuwa, hali ya kibinadamu nchini Yemen ni mbaya mno na kwamba, zaidi ya watoto milioni 11 wa nchi hiyo wanahitajia misaada ya kibinadamu.
-
UNICEF yataka watoto wa DRC wasaidiwe haraka
Jan 31, 2018 04:31Mjumbe wa Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuhudumia Watoto (Unicef) huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameyataka mataifa ya dunia kukusanya dola milioni 268 za kudhamini mahitaji ya dharura ya watoto milioni 6 na laki tatu wa nchi hiyo.
-
Unicef yakosoa kutoheshimu sheria pande zinazozozana Libya
Jan 25, 2018 14:28Mjumbe Maalumu wa Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) nchini Libya amezitaka pande zinazozozana nchini humo kuheshimu sheria za kimataifa.
-
UNICEF yataka kuandaliwa mazingira ya kurejea wakimbizi watoto wa Myanmar
Jan 25, 2018 07:24Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kuboreshwa mazingira ya kiusalama na kuandaliwa uwanja wa kurejea nchini Myanmar wakimbizi watoto wa Kiislamu wa jamii ya Rohingya walioko nchini Bangladesh.
-
UNICEF yatahadharisha kuhusiana na hali mbaya ya watoto Sudan Kusini
Jan 21, 2018 03:11Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetahadharisha kuhusu hali mbaya inayowakabili watoto katika nchi changa ya Sudan Kusini.
-
Nusu ya raia wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wanahitajia misaada ya kibinadamu
Dec 31, 2017 14:35Nusu ya raia wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wanahitajia misaada ya kibinadamu huku kukitolewa miito ya kuwasaidia haraka raia hao.
-
Unicef na Shirika la Kimataifa la Wahajiri: Watoto wahajiri elfu 36 wanahitaji msaada huko Libya
Dec 19, 2017 07:49Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) na Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) jana yalieleza kuwa watoto wahajiri karibu elfu 36 wanahitaji msaada huko Libya na kwamba elfu 14 kati yao hawana wazazi.
-
UNICEF: Watoto Sudan Kusini wanakabiliwa na hali mbaya
Dec 16, 2017 15:26Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetahadharisha kuhusu hali mbaya ya watoto katika nchi ya Sudan Kusini.
-
UNICEF: Watoto milioni 180 duniani, wakiwamo Watanzania hawana mustakabali mwema
Nov 21, 2017 02:40Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia watoto UNICEF limesema licha ya hatua zilizopigwa kimataifa, mtoto 1 kati ya 12 duniani wanaishi katika nchi ambazo matarajio yao leo ni mabaya kuliko ya wazazi wao.
-
UNICEF: Mzingiro wa Saudia utaua maelfu ya watoto Wayemen wenye njaa
Nov 10, 2017 15:08Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Watoto UNICEF limeonya kuhusu madhara makubwa ya mzingiro wa Saudi Arabia dhidi ya Yemen na kusema idadi kubwa ya watoto Wayemen wanaweza kupoteza maisha kwani tayari wanakabiliwa na lishe duni.