Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Wazayuni waongeza njama za kuuvamia Msikiti wa al Aqsa

    Wazayuni waongeza njama za kuuvamia Msikiti wa al Aqsa

    Feb 01, 2017 23:21

    Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel Knesset limefuta marufuku iliyokuwa inawazuia wabunge wa utawala huo kuingia ndani ya msikiti wa al Aqsa, ambacho ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu.

  • Wapalestina waandamana kulaani ujenzi wa vitongoji wa Israel

    Wapalestina waandamana kulaani ujenzi wa vitongoji wa Israel

    Jan 14, 2017 00:27

    Wananchi wa Palestina walifanya maandamano Ijumaa ya jana kulalamikia siasa za utawala wa Kizayuni za kubomoa nyumba zao katika ardhi zilizoporwa na utawala huo mwaka 1948.

  • Kuzidi kuwa

    Kuzidi kuwa "ngangari" Wapalestina mbele ya jinai za Israel

    Jan 12, 2017 23:01

    Wakazi Waarabu katika mji wa Qalansuwa wa kaskazini mwa ardhi za Palestina zilizopachikwa jina la Israel wameanzisha mgomo wa wote kwa ajili ya kulalamikia hatua ya utawala wa Kizayuni ya kuvunja nyumba zao 11.

  • Idadi ya wazayuni walioangamizwa katika shambulio la Quds yafikia sita

    Idadi ya wazayuni walioangamizwa katika shambulio la Quds yafikia sita

    Jan 09, 2017 03:42

    Duru za Palestina zimetangaza kuwa idadi ya wazayuni walioangamizwa katika operesheni ya shambulio iliyotekelezwa na kijana mmoja wa Kipalestina imefikia sita baada ya wazayuni wengine wawili waliojeruhiwa katika shambulio hilo kufariki dunia. Wazayuni wengine wasiopungua 20 walijeruhiwa katika shambulio hilo.

  • Iran: Utawala wa Kizayuni hauna nafasi yoyote Mashariki ya Kati

    Iran: Utawala wa Kizayuni hauna nafasi yoyote Mashariki ya Kati

    Jan 07, 2017 12:29

    Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesisitiza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel hauwezi kuwa na nafasi yoyote katika eneo la Mashariki ya Kati iwapo Waislamu watashikamana na kuwa kitu kimoja.

  • Utawala wa Kizayuni umeweka rekodi mwaka 2016 ya kuua watoto wengi Wapalestina

    Utawala wa Kizayuni umeweka rekodi mwaka 2016 ya kuua watoto wengi Wapalestina

    Jan 05, 2017 12:40

    Shirika la Kimataifa la Kulinda Watoto (DCI) limeeleza katika ripoti yake mpya kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel uliua watoto wengi zaidi Wapalestina katika mwaka uliomalizika wa 2016 kulinganisha na miaka 10 iliyopita na wala hauwajibiki mbele ya yeyote kwa mauaji uliyofanya.

  • Jeshi la Nigeria: Boko Haram wanapatiwa silaha na Israel

    Jeshi la Nigeria: Boko Haram wanapatiwa silaha na Israel

    Jan 04, 2017 00:58

    Duru za Nigeria zimefichua kuwa, kundi la wanamgambo wa kigaidi wa Boko Haram limekuwa likipata misaada ya silaha kutoka kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Israel yazidisha harakati za kuiyahudisha Quds tukufu

    Israel yazidisha harakati za kuiyahudisha Quds tukufu

    Dec 31, 2016 00:17

    Duru za Palestina zimetangaza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umechimba mashimo mapya chini ya Msikiti wa al Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Kukiri duru za Kizayuni juu ya kuwa mbaya hali ya Gaza

    Kukiri duru za Kizayuni juu ya kuwa mbaya hali ya Gaza

    Dec 30, 2016 04:25

    Kituo kimoja cha haki za binadamu cha Israel kimekiri kwamba, utawala wa Kizayuni wa Israel umekuwa ukiifanya kuwa mbaya siku baada ya siku hali ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza huko Palestina.

  • Dk. Hanna Issa: Mashimo mengine kadhaa yamechimbwa chini ya msikiti wa Al-Aqsa

    Dk. Hanna Issa: Mashimo mengine kadhaa yamechimbwa chini ya msikiti wa Al-Aqsa

    Dec 30, 2016 03:44

    Kamati ya Kiislamu na Kikristo ya kuuhami mji mtukufu wa Baitul Muqaddas na matukufu yake imeripoti kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umechimba mashimo mengine kadhaa chini ya msikiti mtukufu wa Al-Aqsa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS