-
Maneva ya kijeshi; wenzo wa Israel wa kuwafukuza Wapalestina kutoka katika ardhi zao
Dec 21, 2016 00:22Maneva ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel yalianza Jumatatu ya juzi katika eneo la al-Aghwar kwa lengo la kuwafukuza Wapalestina zaidi kutoka katika eneo hilo lililoko kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Harakati ya Ansarullah ya Yemen: Marekani na Israel ndio maadui wa Umma wa Kiislamu
Dec 17, 2016 13:12Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen imesisitiza juu ya udharura wa kutumiwa mafundisho ya Bwana Mtume (saw) kwa ajili ya kukabiliana na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel tawala mbazo ni maadui wa Umma wa Kiislamu.
-
Kuzidi kuwa mkubwa mgogoro wa kiuchumi wa Israel
Dec 14, 2016 04:00Taasisi ya utawala wa Kizayuni ya Latite imefichua kuwa, karibu watu milioni 2.5 wakazi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wanaishi chini ya mstari wa umaskini.
-
Bunge la Israel lautupa muswada wa kupiga marufuku Adhana
Dec 07, 2016 12:15Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel Knesset leo Jumatano limeutupilia mbali muswada wa kupiga marufuku adhana katika mji mtakatifu wa Quds na maeneo mengine ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Walowezi wa Kiyahudi wauvunjia heshima tena msikiti wa al-Aqswa
Dec 05, 2016 00:40Makumi ya walowezi wa Kiyahudi jana Jumapili waliuvamia Msikiti Mtukufu wa al Aqsa katika mji wa Baitul Muqaddas na kulivunjia heshima eneo hilo tukufu.
-
Israel yalazimika kurudi nyuma, yaakhirisha tena kujadili marufuku ya adhana
Dec 01, 2016 00:40Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel (Knesset) limelazimika kulegeza kamba na kuakhirisha kujadili muswada wa kupiga marufuku adhana katika misikiti ya mji mtakatifu wa Quds, ukiwemo Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu.
-
Ndege za kivita za Israel zaihujumu Syria
Nov 30, 2016 04:22Ndege za kivita za utawala haramu wa Israel zimevurumisha makombora manne katika maeneo mawili nchini Syria karibu na barabara inayounganisha mji mkuu wa Syria, Damascus na mji mkuu wa Lebanon, Beirut.
-
Israel yakasirishwa na muendelezo wa vikwazo vya Ulaya dhidi yake
Nov 27, 2016 04:46Baada ya Ufaransa kutoa maagizo mapya kwa ajili ya kubandika stika katika bidhaa zinazozalishwa katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni, hatua hiyo imekabiliwa na radiamali hasi na kuikasirisha Israel.
-
Moto katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu na hatua ya Israel ya kutumia kipropaganda suala hilo
Nov 27, 2016 02:07Matamshi ya viongozi wa kisiasa na misimamo iliyo dhidi ya Wapalestina iliyodhihirishwa na makuhani wa utawala wa Kizayuni wa Israel kufuatia moto mkubwa unaotiliwa shaka uliotokea katika baadhi ya maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel ambao umeathiri pia maeneo ya milimani ya Baitull Muqaddas, yanadhihirisha namna viongozi wa Israel wanavyolitumia suala hilo kisiasa ili kuwakandamiza na kuwaua zaidi raia wa Palestina.
-
UN yakosoa kuendelea ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi
Nov 24, 2016 04:34Umoja wa Mataifa umelaani uamuzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kujenga nyumba 500 mpya mashariki mwa Baitul Muqaddas.