-
Rais wa Ufaransa akiri, Afrika imebadilika
Dec 22, 2024 12:18Wakati Ufaransa imepoteza kambi zake nyingi za kijeshi barani Afrika, sasa rais wa nchi hiyo, Emmanuel Macron, katika safari ya kimyakimya kwenye kituo cha mwisho cha operesheni za nchi hiyo huko Djibouti, amekiri kwamba: Afrika inabadilika kwa sababu maoni ya umma na Serikali yamo katika hali ya kubadilika, hivyo nafasi yetu barani Afrika pia itabadilika.
-
Sisitizo la Joe Biden la kudumisha uwepo wa kijeshi wa Marekani Asia Magharibi
Oct 16, 2024 13:30White House ilitangaza siku ya Jumanne kwamba, Rais Joe Biden wa Marekani ameiandikia barua Congress ya nchi hiyo akiifahamisha kwamba vikosi vya Marekani vitaendelea kubakia katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) kwa kuhofia jibu la Iran kwa chokochoko za utawala wa Kizayuni.
-
Kauli moja ya mirengo ya kisiasa ya Iraq kuhusu wajibu wa kuondoka wanajeshi wa kigeni nchini mwao
Feb 27, 2024 02:31Qasim al-Araji, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Iraq amesisitiza kuwa mirengo yote ya kisiasa ya nchi hiyo yanakubaliana kwa kauli moja kuhusu wajibu wa kuondoka wanajeshi wa kigeni nchini humo.
-
Tangazo la Marekani la kuwa tayari kwa mazungumzo ya kuhitimisha kuwepo kwake kijeshi nchini Iraq
Jan 26, 2024 07:57Afisa mmoja wa Marekani ambaye hakutaka jina lake litajwe amesema, katika barua ambayo balozi wa Marekani mjini Baghdad, Alina Romanovsky aliiwasilisha siku ya Jumatano kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq Fuad Hossein, Washington imetangaza kuwa iko tayari kuanza mazungumzo na Baghdad ya kuhitimisha uwepo kijeshi wa nchi hiyo na washirika wake katika ardhi ya Iraq.
-
Kuongezeka uwepo kijeshi wa Marekani huko Iraq na Syria
Jan 16, 2024 14:27Marekani ilituma wanajeshi huko Iraq mwaka 2003 wakati ilipoivamia na kuikalia kwa mabavu nchi hiyo mwaka 2003; na kuhusu Syria pia Marekani ilituma wanajeshi wake nchini humo mwaka 2014 kwa kisingizio cha kupambana na kundi la kigaidi la Kitakfiri la Daesh (ISIS) katika fremu ya Muungano wa Kimataifa wa eti kukabiliana na ugaidi.
-
Kufikia kikomo uwepo wa kijeshi wa Ufaransa nchini Niger; ushindi kwa Waniger
Dec 24, 2023 11:10Miezi kadhaa baada ya kutokea mabadiliko ya kisiasa nchini Niger na sisitizo la Baraza la Kijeshi la kuondoka vikosi vya kijeshi vya Ufaransa katika ardhi ya nchi hiyo, hatimaye kundi la mwisho la askari wa Paris liliondoka Niger siku chache zilizopita.
-
Russia yapinga vitendo vya uchochezi vya Marekani nchini Syria
Apr 02, 2023 08:05Kamanda wa ngazi za juu nchini Russia alitangaza siku ya Ijumaa kuwa Moscow iimelalmikia "vitendo vya uchochezi" vya vikosi vamizi vya Marekani nchini Syria.
-
Msafara wa wanajeshi vamizi wa Marekani washambuliwa kusini mwa Iraq
Apr 14, 2021 02:36Duru za habari za Iraq zimetangaza kuwa, msafara wa magari yaliyokuwa yamepakia vifaa mbalimbali na zana za kijeshi kwa ajili ya wanajeshi vamizi wa Marekani umeshambuliwa kusini mwa nchi hiyo.
-
Matokeo ya kuendelea kuwepo kijeshi Ufaransa barani Afrika
Jan 03, 2021 12:23Uwepo wa kijeshi wa Ufaransa katika maeneo mbalimbali barani Afrika ungali unaendelea.
-
Ukosoaji wa Umoja wa Mataifa kuhusu uwepo usio wa kijesheria wa majeshi ya kigeni nchini Syria
Jan 27, 2020 04:21Marekani imekuwepo kijeshi na kinyume cha sheria nchini Syria tangu mwaka 2014 kwa kisingizio cha kupambana na kundi la Daesh (ISIS), ambapo licha ya madai ya Rais Donand Trump ya kuwaondoa askari wa nchi yake kutoka taifa hilo la Kiarabu, lakini hadi leo askari hao wameendelea kuwepo sambamba na kupora mafuta ya Syria.