-
Bunge la Iran lalaani hatua ya Bunge la Marekani
Nov 22, 2016 12:59Wajumbe wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, wamelaani hatua ya wajumbe wa Bunge la Marekani kurefusha kwa muda wa miaka 10 sheria ya kuiwekea Iran vikwazo.
-
Bunge la Marekani larefusha vikwazo dhidi ya Iran, maandamano dhidi ya Trump yanaendelea
Nov 16, 2016 04:20Bunge la Marekani limeendelea kuonesha uadui wake dhidi ya Iran kwa kupasisha muswada wa kurefusha vikwazo dhidi ya Tehran kwa miaka kumi zaidi.
-
Sudan yakosoa kurefushwa vikwazo dhidi yake na Marekani
Nov 01, 2016 11:08Serikali ya Sudan imekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuirefushia vikwazo Khartoum kwa muda wa mwaka mmoja mwingine.
-
Kongo DR yakosoa vikwazo ilivyowekewa na Marekani
Oct 06, 2016 10:59Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imekosoa vikali hatua ya Marekani kuwawekea vikwazo maofisa wa ngazi za juu wa serikali ya Kinshasa, kwa shabaha ya kuathiri mwelekeo wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Serikali: Vikwazo vimesababisha mgogoro wa kiuchumi Zimbabwe
Jul 17, 2016 11:24Serikali ya Zimbabwe imelaumu vikwazo vya kimataifa na kusema kuwa ndiyo sababu kuu ya mgogoro wa kiuchumi unaoshuhudiwa nchini humo hivi sasa.
-
IGAD yataka Sudan Kusini iwekewe vikwazo vya silaha
Jul 17, 2016 11:24Jumuiya ya Ushirikiano wa Kieneo ya Mashariki mwa Afrika IGAD imetoa mwito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Sudan Kusini kwa shabaha ya kukomesha mapigano mapya yaliyozuka nchini humo hivi karibuni na kusababisha mauaji ya mamia ya watu.
-
Angola, Misri kuishawishi UN kuziondolea vikwazo CAR na S/Kusini
Jun 21, 2016 23:34Angola na Misri zimesema zitazishawishi nchi wanachama wasio wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zikubali wazo la kuondolewa vikwazo Jamhuri ya Afrika ya Kati na Sudan Kusini.
-
Ulaya yatofautiana na Marekani kuhusu kuwekewa vikwazo DRC
Jun 07, 2016 03:30Nchi za bara Ulaya zimetilia shaka hatua ya Marekani kushinikiza kuwekewa vikwazo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa lengo la kumtaka Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo asigombee urais kwa muhula wa tatu.
-
UN: Huenda Sudan Kusini ikawekewa vikwazo vipya
Jun 01, 2016 02:18Umoja wa Mataifa umesema Sudan Kusini ipo katika ncha ya kuwekewa vikwazo vipya na jamii ya kimataifa kutokana na mwendo wa kinyonga wa kutekeleza makubaliano ya amani yaliyofikiwa mwaka jana.
-
Uholanzi yakataa kupiga marufuku kampeni dhidi ya Israel
May 27, 2016 03:21Uholanzi imekataa wito wa utawala wa kibaguzi wa Israel wa kupiga marufuku kampeni inayozidi kupanuka ya kimataifa ya kutaka walimwengu wasusie bidhaa za Israel.