-
Viongozi wa Somalia washindwa kukubaliana juu ya ajenda ya mkutano muhimu wa uchaguzi
Apr 05, 2021 12:54Viongozi wa Somalia wameshindwa kufikia makubaliano juu ya ajenda kuu ya mkutano muhimu wa uchaguzi, suala ambalo limedhihirisha tena ufa uliopo kati ya makundi ya kisiasa ya Somalia.
-
Wanafikra Wazayuni: Israel ni dhaifu na tete katika kukabiliana na vita vya pande zote
Apr 03, 2021 03:34Kituo cha tafiti za usalama wa ndani cha utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kimesema, hatari kuu inayokabili uwepo wa utawala huo ni vita vya pande zote kutokea kaskazini, mashariki na kusini.
-
Mabilioni ya dola yapotea katika vita vya Marekani huko Afghanistan
Mar 01, 2021 12:14Wasimamizi wa serikali ya Marekani wametoa ripoti na kukiri juu ya kupotea mabilioni ya dola fedha zilizotumika katika vita vya miaka 20 vya nchi hiyo huko Afghanistan.
-
Taliban yaonya kuwa itaanzisha tena vita kamili dhidi ya Marekani nchini Afghanistan
Feb 27, 2021 06:31Msemaji wa Taliban amesema, kundi hilo halitakubali kuangaliwa upya au kufanywa mazungumzo tena kuhusu mapatano ya Qatar iliyofikia Marekani; na endapo Marekani itayakiuka mapatano hayo, huo utakuwa ni uanzishaji wa vita vipya nchini Afghanistan.
-
Kukataa kuomba radhi Macron kwa jinai ilizofanya Ufaransa enzi za ukoloni nchini Algeria
Jan 22, 2021 10:25Ufaransa, ambayo ilikuwa moja ya madola ya kikoloni, ina faili chafu na la kuaibisha kuhusiana na uvamizi, ukaliaji ardhi kwa mabavu na vitendo vya jinai ilivyofanya mnamo karne ya 20 katika nchi ilizozikoloni hususan Algeria.
-
Walibya wavamia makazi ya kijeshi ya Haftar, wataka kulipiza kisasi dhidi ya mamluki
Jan 01, 2021 13:25Wakazi wa mji wa Houn katika eneo la al Jufra huko katikati mwa Libya wamefanya maandamano wakitaka kulipiza kisasi kwa mamluki wa kampuni ya Wagner ya Russia na wapiganaji wa kundi la Janjaweed kutoka Sudan wanaolisaidia jeshi la jenerali muasi, Khalifa Haftar baada ya mauaji ya raia kadhaa wa eneo hilo.
-
Kuendelea mgogoro wa Tigray nchini Ethiopia na hatari zake
Nov 23, 2020 12:33Mgogoro katika jimbo la Tigray nchini Ethiopia umechukua muelekeo mpya ambapo Abiy Ahmed, Waziri Mkuu wa nchi hiyo amewapa viongozi wa jimbo hilo muda wa masaa 72 wawe wamejisalimisha na kuweka chini silaha zao, la sivyo, atazingira na kuyashambulia makao makuu ya eneo hilo.
-
UN: Hali ya wakimbizi wa Ethiopia nchini Sudan inatia wasiwasi
Nov 12, 2020 11:59Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa una wasiwasi kuhusu hali ya wakimbizi wa Ethiopia wanaoendelea kumiminika katika nchi jirani ya Sudan iwapo raia zaidi watalazimika kukimbia mapigano yanayojiri kati ya jeshi la Serikali Kuu ya Ethiopia na wapiganaji wa Harakati ya Wananchi ya Ukombozi wa Tigray (The Tigray People's Liberation Front (TPLF)) huko kaskazini mwa Ethiopia.
-
Waethiopia waanza kumiminika Sudan wakikimbia vita, wamo wanajeshi wa serikali
Nov 10, 2020 10:19Serikali ya Sudan imetangaza kuwa makumi ya wakimbizi kutoka Ethiopia wamevuka mpaka na kuingia kusini mashariki mwa nchi hiyo. Taarifa ya serikali ya Sudan imesema kuwa wakimbizi hao ambao wanajumuisha wanajeshi 30 wa serikali ya Ethiopia, wameingia katika eneo la Al-Luqdi mashariki mwa jimbo la al-Qadarif.
-
Onyo la Lavrov kuhusu uwepo wa mamluki 2000 wa kitakfiri huko Karabakh
Nov 05, 2020 03:58Russia daima imekuwa ikitahadharisha kuhusu hatari ya uwepo wa makundi ya kigaidi yenye misimamo ya kupindukia mpaka katika nchi hiyo na nchi nyingine za Caucasia na Asia ya Kati na kusisitiza udharura wa kupambana na makundi hayo.