-
Erdogan: Waislamu hawawezi kufumbia macho mgogoro wa al-Aqsa
Jul 23, 2017 23:28Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amekosoa vikali hatua kandamizi za usalama za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika mji wa Quds Tukufu na kusisitiza kuwa katu Waislamu hawawezi kunyamazia kimya jinai hizo.
-
Ongezeko la Chuki dhidi ya Waislamu Marekani
Jul 18, 2017 21:58Kumeshuhudiwa ongezeko kubwa la chuki dhidi ya Waislamu nchini Marekani.
-
Waislamu; wahanga wa vitendo vya kibaguzi na kigaidi vya kumwagiwa tindikali nchini Uingereza
Jul 15, 2017 23:44Waislamu wa nchini Uingereza wangali wanakabiliwa na vitendo na mashambulizi ya kibaguzi na kigaidi katika sura mpya kutoka makundi ya mirengo ya kulia yenye misimamo mikali. Jinai mpya ya hivi karibuni ilitekelezwa usiku wa Alhamisi ambapo Waislamu watano walimwagiwa tindikali usoni.
-
Kikao cha kushukuru mchango wa Waislamu chafanyika nchini Brazil
Jul 07, 2017 03:20Kikao cha kuheshimu na kutambua mchango wa jamii ya Waislamu wa Brazil kilifanyika jana katika bunge la nchi hiyo.
-
Waislamu Ufaransa watahadharishwa kuhusu ongezeko la mashambulizi ya kigaidi
Jul 03, 2017 08:25Viongozi wa makundi na jumuiya mbalimbali za Kiislamu nchini Ufaransa wamewatahadharisha wafuasi wa dini hiyo kuhusu uwezekano wa kuongezeka mashambulizi yanayowalenga Waislamu nchini humo.
-
Wanajeshi wa Saudia wamuua mkuu wa Baraza la Qur'ani huko Qatif
Jun 25, 2017 10:58Wanajeshi wa utawala wa Saudi Arabia wamempiga risasi na kumuua mwenyekiti wa baraza la Qur'ani katika mji Awamiya katika eneo la Qatif mashariki mwa nchi hiyo.
-
Waislamu walioshiriki mazishi ya binti aliyeuawa Marekani walaani ubaguzi dhidi yao
Jun 22, 2017 09:47Waislamu walioshiriki mazishi ya binti wa Kiislamu aliyeuawa siku chache zilizopita na kijana mwenye chuki dhidi ya Uislamu huko katika jimbo la Virginia nchini Marekani, wamelaani vikali ongezeko la ubaguzi na chuki dhidi ya Uislamu nchini humo.
-
Rais wa Ufaransa awapongeza Waislamu kwa kupambana na ugaidi, misimamo mikali
Jun 21, 2017 09:35Raisi mpya wa Ufaransa ameipongeza jamii ya Waislamu wa nchi hiyo kutokana na mchango wake mkubwa katika kupambana na misimamo mikali na amesisitiza udharura wa kudumishwa mapambano dhidi ya ugaidi.
-
Wakimbizi wa Kiislamu Afrika ya Kati wana hali mbaya ya kibinaadamu
Jun 20, 2017 22:14Habari kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati zinaarifu kwamba, jumla ya wakimbizi 1500 wa Kiislamu waliolazimika kuyahama makazi yao kutokana na mapigano yanayoendelea nchini humo, wanakabiliwa na hali mbaya ya kibinaadamu eneo la Bangassou nchini humo.
-
Maandamano yafanyika Marekani baada ya kuuawa binti Muislamu
Jun 20, 2017 03:39Habari ya kuuawa msichana mmoja wa Kiislamu nchini Marekani katika shambulizi lililofanywa na mtu mwenye chuki dhidi ya dini ya Uislamu katika jimbo la Virginia imezusha malalamiko na maandamano nchini humo.