-
Asilimia 60 ya Waislamu Marekani wanabaguliwa
Mar 22, 2017 03:34Uchunguzi mpya wa maoni umebaini kuwa asilimia 60 ya Waislamu nchini Marekani wamebaguliwa kwa njia moja au nyingine katika kipindi cha mwaka moja uliopita.
-
Marekani na Uingereza zawabana zaidi wasafiri kutoka nchi kadhaa za Waislamu
Mar 22, 2017 02:58Serikali ya Marekani jana Jumanne ilipiga marufuku wasafiri kutoka nchi 8 za Waislamu kuingia katika ndege zinazoelekea nchini humo wakiwa na zana za electroniki kubwa zaidi ya simu za kiganjani. Nchi hizo 8 za Waislamu ni Jordan, Misri, Uturuki, Saudi Arabia, Kuwait, Morocco, Qatar na Imarati.
-
Maadui wa Waislamu washambulia msikiti mwingine nchini Marekani
Mar 17, 2017 00:27Vyombo vya habari vya nchini Marekani vimeripoti habari ya kushambuliwa msikiti mwingine, kusini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Waislamu walaani marufuku ya Hijabu katika mahakama ya EU
Mar 16, 2017 03:59Waislamu barani Ulaya wamelaani vikali hatua ya Mahakama ya Uadilifu ya Ulaya kutoa hukumu kuwa waajiri wanaweza kuwazuia wafanyakazi wa kike Waislamu kuvaa hijabu kazini.
-
Bunge la Uswisi lapinga muswada wa kupiga marufuku vazi la burqa
Mar 10, 2017 10:30Bunge la Uswisi limekataa kupasisha muswada wa kupiga marufuku nchini humo vazi la stara la burqa linalovaliwa na baadhi ya wanawake wa Kiislamu.
-
Waislamu wa Marekani wasaidia kifedha kukarabati makaburi ya Mayahudi yaliyobomolewa
Feb 23, 2017 00:15Waislamu nchini Marekani wamechangisha maelfu ya dola kusaidia ukarabati wa makaburi ya Mayahudi yaliyobomolewa katika jimbo la Missouri.
-
Asilimia kubwa ya Wamarekani wanapinga kuzuiwa Waislamu kuingia US
Feb 21, 2017 10:48Matokeo ya utafiti wa maoni yanaonyesha kuwa asilimia kubwa ya raia wa Marekani wanapinga marufuku ya kuzuiwa Waislamu kuingia nchi hiyo.
-
Wamarekani walio wengi wapinga marufuku ya Waislamu kuingia nchini humo
Feb 19, 2017 10:25Uchunguzi mpya wa maoni uliofanyika nchini Marekani unaonesha kuwa asilimia kubwa ya raia wa nchi hiyo wanapinga marufuku ya kuingia Waislamu nchini Marekani.
-
Merkel: Russia na Waislamu wajumuishwe katika vita dhidi ya ugaidi
Feb 19, 2017 04:13Kansela wa Ujerumani ametoa mwito wa kushirikishwa Russia na Waislamu katika kukabiliana na jinamizi la ugaidi.
-
Makundi yaliyo dhidi ya Waislamu yaongezeka kwa kasi Marekani
Feb 17, 2017 23:10Idadi ya makundi yaliyo dhidi ya Waislamu yameongezeka karibu mara tatu Marekani mwaka 2016 baada ya kuanza kampeni za urais za Donald Trump.