Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Waislamu

  •  Jeshi na polisi ya Myanmar zatenda jinai dhidi ya wanawake wa Kiislamu

    Jeshi na polisi ya Myanmar zatenda jinai dhidi ya wanawake wa Kiislamu

    Feb 07, 2017 04:07

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu limeripoti kuwa jeshi na polisi ya Myanmar zinaratibu jinai dhidi ya wanawake wa Kiislamu nchini humo.

  • Ayatullah Larijani: Maadui wanaogopa Iran kuwa kigezo kwa Waislamu bilioni moja

    Ayatullah Larijani: Maadui wanaogopa Iran kuwa kigezo kwa Waislamu bilioni moja

    Feb 05, 2017 23:45

    Mkuu wa Idara ya Vyombo vya Mahakama nchini Iran amesema kuwa wahka na wasiwasi mkubwa wa maadui unatokana na kuiona Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ikiwa kigezo na ruwaza njema kwa Waislamu zaidi ya bilioni moja duniani.

  • Kuwait yakanusha madai ya kupiga marufuku raia wa nchi za Kiislamu

    Kuwait yakanusha madai ya kupiga marufuku raia wa nchi za Kiislamu

    Feb 05, 2017 23:12

    Serikali ya Kuwait imekadhibisha habari ya tetesi iliyoenea katika baadhi ya vyombo vya habari kwamba nchi hiyo imepiga marufuku raia wa nchi kadhaa za Kiislamu kuingia nchini humo.

  • Mwandishi habari Mmarekani awaomba radhi Waislamu kutokana na ubaguzi wa Trump

    Mwandishi habari Mmarekani awaomba radhi Waislamu kutokana na ubaguzi wa Trump

    Feb 05, 2017 04:49

    Mwandishi habari maarufu nchini Marekani amewaomba radhi Waislamu wote duniani na kusema: "Wamarekani wanapaswa kusimama kidete dhidi ya watu wenye misimamo mikali."

  • Wanawake Waislamu Nigeria walaani kukandamizwa hijabu

    Wanawake Waislamu Nigeria walaani kukandamizwa hijabu

    Feb 02, 2017 10:31

    Muungano wa makundi ya wanawake kwa jina la "Hijab Rights Advocacy Initiative" wa nchini Nigeria jana ulilaani kile ulichokitaja kuwa kuendelea kukandamizwa wanawake wanaovaa vazi la stara la hijabu, na kulitaka bunge la nchi hiyo kubuni sheria ili kukomesha unyanyasaji huo wa wanawake wanaovaa hijabu.

  • Kupelekwa Waislamu wa Myanmar katika kisiwa cha Bangladesh

    Kupelekwa Waislamu wa Myanmar katika kisiwa cha Bangladesh

    Feb 01, 2017 04:34

    Serikali ya Bangladesh imesisitiza kutekeleza mpango wa kuwapatia makazi wakimbizi wa Kiislamu wa jamii ya Rohingya katika kisiwa cha Tangarchar katika Ghuba ya Bengal.

  • Hijabu ya Kiislamu yapigwa marufuku maeneo ya umma Austria

    Hijabu ya Kiislamu yapigwa marufuku maeneo ya umma Austria

    Feb 01, 2017 00:51

    Serikali ya Austria imechukua hatua ya kuwapiga marufuku wanawake Waislamu kuvaa aina ya hijabu inayofunuka uso wote, yaani niqabu, katika maeneo yote ya umma nchini humo.

  • 5 wauawa kwa risasi kwenye hujuma dhidi ya msikiti Quebec, Canada

    5 wauawa kwa risasi kwenye hujuma dhidi ya msikiti Quebec, Canada

    Jan 30, 2017 04:08

    Kwa akali watu watano wameuawa katika hujuma ya kikatili dhidi ya msikiti mmoja katika mji wa Quebec nchini Canada usiku wa kuamkia leo.

  • Dunia yalaani hatua ya Trump kuwazuia Waislamu kuingia Marekani

    Dunia yalaani hatua ya Trump kuwazuia Waislamu kuingia Marekani

    Jan 29, 2017 10:15

    Hatua ya rais Donald Trump kuwazuia wahamiaji Waislamu kuingia nchini humo inaendelea kulaani na kukoslewa kote duniani na Marekani kwenywe.

  • Trump asaini amri ya kupiga marufuku Waislamu kuingia Marekani

    Trump asaini amri ya kupiga marufuku Waislamu kuingia Marekani

    Jan 28, 2017 00:49

    Rais Donald Trump wa Marekani ametia saini amri ya kuwazuia Waislamu kuingia nchini humo ambapo hivi sasa kutakuwa na vizingiti kwa wahamiaji na wakimbizi kwa lengo la kuwazuia watu aliowataja kuwa, 'magaidi wa Kiislamu wenye misimamo mikali' kuingia katika nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS