-
Hijabu ya Kiislamu yapigwa marufuku maeneo ya umma Austria
Feb 01, 2017 00:51Serikali ya Austria imechukua hatua ya kuwapiga marufuku wanawake Waislamu kuvaa aina ya hijabu inayofunuka uso wote, yaani niqabu, katika maeneo yote ya umma nchini humo.
-
5 wauawa kwa risasi kwenye hujuma dhidi ya msikiti Quebec, Canada
Jan 30, 2017 04:08Kwa akali watu watano wameuawa katika hujuma ya kikatili dhidi ya msikiti mmoja katika mji wa Quebec nchini Canada usiku wa kuamkia leo.
-
Dunia yalaani hatua ya Trump kuwazuia Waislamu kuingia Marekani
Jan 29, 2017 10:15Hatua ya rais Donald Trump kuwazuia wahamiaji Waislamu kuingia nchini humo inaendelea kulaani na kukoslewa kote duniani na Marekani kwenywe.
-
Trump asaini amri ya kupiga marufuku Waislamu kuingia Marekani
Jan 28, 2017 00:49Rais Donald Trump wa Marekani ametia saini amri ya kuwazuia Waislamu kuingia nchini humo ambapo hivi sasa kutakuwa na vizingiti kwa wahamiaji na wakimbizi kwa lengo la kuwazuia watu aliowataja kuwa, 'magaidi wa Kiislamu wenye misimamo mikali' kuingia katika nchi hiyo.
-
Ombi la kutaka uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu mauaji ya Waislamu nchini Myanmar
Jan 24, 2017 04:49Makundi 41 ya kiraia nchini Myanmar na Mashariki mwa Asia yametoa taarifa na kutaka uchunguzi huru wa kimataifa ufanyike kuhusu mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu za Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar ambao wanakandamizwa na serikali pamoja na mabudha wenye misimamo mikali nchini humo.
-
Sheikh Ikrima Sabri: Kuhamishiwa ubalozi wa Marekani Baytul Muqaddas ni kutangaza vita dhidi ya Waislamu
Jan 21, 2017 03:30Khatibu wa Masjidul Aqswa amesenma kuwa, kuhamishwa ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv na kupelekwa Baytul Muqaddas kutakuwa ni sawa na kutangaza vita sio tu dhidi ya Wapalestina bali dhidi ya Waarabu na Waislamu wote.
-
Iran: Nchi za Kiislamu zizuie Waislamu kudhulumiwa duniani
Jan 19, 2017 04:25Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imezitaka nchi za Kiislamu zisikubali wala kuvumilia kuona Waislamu wakikandamizwa na kudhulumiwa duniani.
-
Waislamu wa Myanmar wanatarajia mabadiliko chanya nchini
Jan 18, 2017 04:41Ziara ya siku tatu iliyofanywa huko Myanmar na Yanghee Lee Mjumbe wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kuchunguza hali ya Waislamu katika jimbo la Rakhine nchini humo imewapa matumaini Waislamu kuwa huenda hali yao ikaboreka.
-
Kukiri serikali ya Uingereza juu ya kuweko ubaguzi dhidi ya Waislamu
Jan 16, 2017 23:32Serikali ya Uingereza imekiri kwamba, Waislamu wa nchi hiyo wanaotafuta kazi wamekuwa wakibaguliwa na kufanyiwa vitendo visivyo vya kiadilifu.
-
Waislamu wa Nigeria wanasubiri kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky
Jan 16, 2017 08:31Sambamba na kukaribia wakati wa kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, msemaji wa harakati hiyo amewatahadharisha viongozi wa nchi hiyo na kuwataka wamuachilie huru haraka iwezekanavyo mwanaharakati huyo wa Kiislamu.