-
Chuki dhidi ya Uislamu, chanzo cha kuhujumiwa misikiti Afrika Kusini
Jan 14, 2017 04:03Serikali ya Afrika Kusini imesema chuki dhidi ya Uislamu ndio chanzo cha hujumza mbili dhidi ya misikiti mjini Cape Town.
-
Morocco yapiga marufuku uzalishwaji na uuzaji wa burqa
Jan 11, 2017 11:50Serikali ya Morocco imepiga marufuku uzalishaji na uuzaji wa vazi la burqa linalovaliwa na baadhi ya wanawake Waislamu nchini humo.
-
Waislamu wa Austria walalamikia mpango wa kuwazuia kuvaa Hijabu
Jan 07, 2017 12:27Waislamu wa nchi Austria wamelalamikia vikali mpango wa kuwapiga marufuku kuvaa vazi la staha la Hijabu katika maeneo ya kazi za umma.
-
Austria kupiga marufuku wanawake Waislamu kuvaa hijabu
Jan 07, 2017 03:51Waziri wa Mambo ya Nje na Utangamano wa Austria ametoa wito wa kupigwa marufuku vazi la stara la hijabu linalovaliwa na wanawake Waislamu katika maeneo ya umma nchini humo.
-
SAUTI: Waislamu wafuatilia kwa karibu kesi ya aliyemtukana Mtume Muhammad SAW, Zanzibar
Jan 06, 2017 14:55Waislamu visiwani Zanzibar na ukanda mzima wa Afrika Mashariki wanaendelea kufuatilia kwa karibu hatua zinazochukuliwa na vyombo vya sheria vya Zanzibar kuhusiana na Abdallah Saleh Abdallah aliyeonekana kwenye mkanda wa video akitoa maneno machafu mno dhidi ya Uislamu.
-
HRW: Serikali inaficha jinai na mauaji dhidi ya Waislamu wa Myanmar
Jan 05, 2017 12:39Mashirika ya kutetea haki za binadamu ikiwemo Human Rights Watch yamesema serikali ya Myanmar inajaribu kuficha jinai na mauaji yanayofanywa na vikosi vya usalama vya nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa Rohingya.
-
Myanmar yazuia misaada ya Malaysia kuwafikia Waislamu Warohingya
Dec 30, 2016 12:23Utawala wa Myanmar unaendelea kuzuia msafara wa meli za Malaysia zinazosheheni misaada ya dharura kwa ajili ya Waislamu wa kabila la Rohingya huku uhusiano wa nchi mbili hizo ukiendelea kuzorota.
-
Velayati: Iran ni kimbilio salama la Waislamu wote
Dec 27, 2016 11:42Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kistratejia cha Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislami ni kimbilio na nchi salama zaidi kwa Waislamu wote.
-
Pew: Waislamu wahanga wa ugaidi nchini Marekani
Dec 23, 2016 00:00Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa nchini Marekani yanaonesha kuwa, Waislamu na wafuasi wa dini za waliowachache ni wahanga wa ubaguzi na hisia za chuki nchini humo.
-
Kadhaa wajeruhiwa baada ya msikiti kuhujumiwa Zurich, Uswisi
Dec 20, 2016 04:33Watu watatu wamejeruhiwa baada ya mtu aliyekuwa na bunduki kushambulia msikiti na kufyatua risasi ovyo akiwalenga waumini waliokuwa wakitekeleza ibada zao katika mji wa Zurich nchini Uswisi usiku wa kuamkia leo.