Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

wakimbizi

  • UN: Hali ya wakimbizi wa Ethiopia nchini Sudan inatia wasiwasi

    UN: Hali ya wakimbizi wa Ethiopia nchini Sudan inatia wasiwasi

    Nov 12, 2020 08:29

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa una wasiwasi kuhusu hali ya wakimbizi wa Ethiopia wanaoendelea kumiminika katika nchi jirani ya Sudan iwapo raia zaidi watalazimika kukimbia mapigano yanayojiri kati ya jeshi la Serikali Kuu ya Ethiopia na wapiganaji wa Harakati ya Wananchi ya Ukombozi wa Tigray (The Tigray People's Liberation Front (TPLF)) huko kaskazini mwa Ethiopia.

  • Utafiti wa Gallup: nchi za ulimwengu zinashindwa kuvumilia kuwapokea wakimbizi

    Utafiti wa Gallup: nchi za ulimwengu zinashindwa kuvumilia kuwapokea wakimbizi

    Sep 23, 2020 08:48

    Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Gallup unaeleza kuwa nchi mbalimbali zinashindwa kuvumilia kuwapokea wakimbizi.

  • Save the Children yaikosoa Ulaya kwa kuwapuuza watoto wadogo wakimbizi

    Save the Children yaikosoa Ulaya kwa kuwapuuza watoto wadogo wakimbizi

    Sep 02, 2020 10:28

    Shirika la Save the Children limezikosoa nchi za Ulaya kutokana na zinavyowapuuza watoto wadogo wakimbizi.

  • UN: Umoja wa Ulaya hauwezi kusimamia mgogoro wa wakimbizi

    UN: Umoja wa Ulaya hauwezi kusimamia mgogoro wa wakimbizi

    Jul 01, 2020 02:55

    Kamishna Mkuu wa Wakimbizi wa Umoja wa Mataifa amekosoa utendaji wa Umoja wa Ulaya na udhaifu wa nchi wanachama katika umoja huo katika suala la kufikia mapatano ya kutatua mgogoro wa wakimbizi.

  • Iran ni katika nchi 10 zinazopokea idadi kubwa ya wakimbizi na wahajiri duniani

    Iran ni katika nchi 10 zinazopokea idadi kubwa ya wakimbizi na wahajiri duniani

    Jun 20, 2020 03:07

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni katika nchi kumi zinazopokea idadi kubwa zaidi ya wakimbizi na wahajiri duniani.

  • Mapigano na ghasia zasababisha watu milioni 80 kuwa wakimbizi

    Mapigano na ghasia zasababisha watu milioni 80 kuwa wakimbizi

    Jun 18, 2020 14:05

    Umoja wa Mataifa umesema takriban watu milioni 80 (asilimia 1 ya jamii ya mwanadamu) wamelazimika kuwa wakimbizi ndani na nje ya nchi zao kutokana na vita na mapigano katika kona mbalimbali za dunia.

  • Malalamiko ya Ujerumani kwa hatua ya Uturuki ya kuzishinikiza nchi za Ulaya kupitia wakimbizi

    Malalamiko ya Ujerumani kwa hatua ya Uturuki ya kuzishinikiza nchi za Ulaya kupitia wakimbizi

    Mar 04, 2020 04:42

    Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ameitaja hatua ya Uturuki ya kutumia kadhia ya wakimbizi kuishinikiza Ulaya kuwa jambo lisilokubalika kufuatia nchi hiyo kufungua mipaka yake na kupelekea kumiminika Ulaya maelfu ya wakimbizi waliokuwa wakiishi katika kambi huko Uturuki.

  • Makumi ya maelfu ya wahajiri wavuka mpaka wa Uturuki na kuingia Ulaya

    Makumi ya maelfu ya wahajiri wavuka mpaka wa Uturuki na kuingia Ulaya

    Mar 03, 2020 07:58

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uturuki ametangaza kwamba hadi kufikia Jumapili usiku wahajiri wapatao laki moja walikuwa wamevuka mpaka wa nchi hiyo kuelekea Ugiriki na Bulgaria.

  • Polisi na raia wa Ugiriki wapambana na wahajiri wanaoingia Ulaya

    Polisi na raia wa Ugiriki wapambana na wahajiri wanaoingia Ulaya

    Mar 02, 2020 22:54

    Polisi na kundi la raia wa Ugiriki wamekabiliana na wahajiri wanaovuka mpaka kuelekea Ulaya.

  • Kura ya turufu ya Ugiriki na hatua ya Uturuki ya kuwaweka rehani wakimbizi

    Kura ya turufu ya Ugiriki na hatua ya Uturuki ya kuwaweka rehani wakimbizi

    Mar 01, 2020 07:09

    Uingiliaji wa wazi wa askari wa Uturuki katika mkoa wa Idlib nchini Syria, katika kuyaunga mkono makundi ya kigaidi yanayoendesha harakati zake mkoani humo, umepata uungaji mkono wa Wamagharibi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS