-
Mkasa wa moto msituni waua watu 58 nchini Ureno
Jun 18, 2017 09:15Habari kutoka Ureno zinasema watu 58 wamethibitishwa kufariki dunia baada ya moto mkubwa ulioanzia katika msitu mmoja uliko karibu na mji wa Pedrogao Grande, katikati mwa nchi kuteketeza magari na makazi ya watu.
-
Waliouawa kwa maporomoko ya ardhi Bangladesh wapindukia 130
Jun 14, 2017 03:24Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na maporomoko ya ardhi nchini Bangladesh imepindukia watu 130.
-
Waaasi wwili wauawa katika mapigano kaskazini mashariki mwa DRC
Jun 10, 2017 11:26Waasi wawili wameuawa katika mapigano yaliyozuka baina yao na wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika jimbo la Ituri la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Watu 14 wauawa Somalia baada ya wanajeshi kupigana wakigombania chakula
Jun 10, 2017 03:15Kwa uchache watu 14 wameuawa kusini magharibi mwa Somalia wengi wao wakiwa ni raia baada ya kuzuka mapigano baina ya wanajeshi wakigombea chakula cha misaada
-
Watu 14 wauawa katika mashambulio ya Boko Haram nchini Nigeria
Jun 08, 2017 10:43Jeshi la polisi la Nigeria limetangaza kuwa, magaidi wa genge la Boko Haram wamefanya mashambulizi katika mji wa Maiduguri, makao makuu ya jimbo la Borno la kaskazini mwa nchi hiyo na kuua watu 14.
-
47 wauawa katika mapigano kati ya makundi hasimu Libya
May 28, 2017 09:17Kwa akali watu 47 wameuawa katika mapigano yanayoendelea katika mji mkuu wa Libya, Tripoli, kati ya wapiganaji wa makundi mawii hasimu ya kisiasa.
-
Gaidi aua Waislamu wawili kwa sababu ya Hijabu nchini Marekani
May 28, 2017 02:32Waislamu wengine wawili wameuawa nchini Marekani ikiwa ni muendelezo wa ukandamizaji na unyanyasaji wa Waislamu hususan tangu alipoingia madarakani Rais Donald Trump wa nchi hiyo.
-
Unicef yatahadharisha kuenea kipindupindu Mashariki ya Kati, Kaskazini mwa Afrika
May 24, 2017 09:52Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetahadharisha kuwa, mamilioni ya watoto wa maeneo ya Mashariki ya Kati na kaskazini mwa Afrika wamo hatarini kutokana na uwezekano wa kuenea janga hatari la kipindupindu katika maeneo hayo.
-
Askari 2 wa kulinda amani wa UN wauawa nchini Mali
May 24, 2017 03:17Askari wawili wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa nchini Mali wameuawa katika uvamizi wa genge la kitakfiri lenye mafungamano na mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda kaskazini mwa nchi.
-
Mauaji yaendelea Afrika ya Kati, watu wengine 22 wauawa
May 20, 2017 23:47Mapigano yameendelea kushuhudiwa kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati ambapo watu 22 wameripotiwa kuuawa.