-
Jeshi la Kenya laangamiza al-Shabaab 21 nchini Somalia
May 25, 2016 10:03Jeshi la Ulinzi la Kenya KDF limetangaza habari ya kuangamizwa wanachama 21 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika eneo la Hawina nchini Somalia.
-
Daesh yaua raia 16 wa Ethiopia nchini Libya
May 12, 2016 02:20Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limetoa kanda mpya ya video ya kuogofya inayoonyesha namna magaidi hao wanavyowaua kinyama raia wa Ethiopia nchini Libya.
-
Makumi wapoteza maisha kutokana na athari za mvua Ethiopia
May 11, 2016 02:35Kwa akali watu 50 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Ethiopia.
-
Maporomoko ya ardhi yasababisha vifo vya watu 20 Rwanda
May 08, 2016 23:10Kwa akali watu 20 wameaga dunia na wengine kadhaa kuachwa bila makazi kufuatia maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha nchini Rwanda.
-
Walioaga dunia kwenye mkasa wa kuporomoka jengo Nairobi, Kenya wafikia 49
May 08, 2016 10:38Habari kutoka Nairobi, mji mkuu wa Kenya zinasema idadi ya watu waliopoteza maisha kwenye mkasa wa kuporomoka jengo mtaani Huruma jijini hapo imefikia watu 49, huku familia 191 zilizoathirika zikipewa hifadhi na shirika la Msalaba Mwekundu.
-
Hujuma ya Daesh nchini Libya yaua watu watano
May 06, 2016 09:33Watu watano wameuawa katika shambulizi la bomu la kutegwa garini la kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika mji wa Misrata, magharibi mwa Libya.
-
Mtoto wa miezi 6 apatikana hai baada ya siku 3 katika jengo lililoporomoka Nairobi
May 03, 2016 12:02Habari kutoka Kenya zinasema kuwa, mtoto wa miezi sita amepatikana akiwa hai bila kujeruhiwa kwenye vifusi vye jengo lililoporomoka katika mtaa wa Huruma jijini Nairobi siku tatu zilizopita.
-
Magaidi waendeleza ukatili Syria, makumi wauawa Aleppo
May 03, 2016 12:00Makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na nchi za kigeni yameshambulia hospitali na maeneo kadhaa ambayo yako chini ya udhibiti wa serikali katika mji wa Aleppo, kaskazini mwa Syria na kusababisha mauaji ya watu wasiopungua 19.
-
Umoja wa Mataifa: 741 waliuawa mwezi Aprili nchini Iraq
May 01, 2016 23:33Takwimu za hivi punde za Umoja wa Mataifa zinaonyesha kuwa idadi ya watu waliouawa katika machafuko na wimbi la mashambulizi ya kigaidi nchini Iraq mwezi uliopita wa Aprili ni watu 741.
-
Makumi waua katika mashambulizi ya bomu Iraq
May 01, 2016 09:59Kwa akali watu 38 wameuawa na wengine 86 kujeruhiwa katika mashambulizi pacha ya mabomu ya kutegwa kwenye magari katika mji wa Samawa, kusini mwa Iraq.