-
Indhari ya Uhispania kuhusu matukio ya eneo na ya kimataifa ya vita vya Gaza
Jan 19, 2024 03:27Pedro Sánchez, Waziri Mkuu wa Uhispania ameonya kuwa, usalama na uthabiti wa eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) umekuwa hatarini na kwamba, mashambulizi haya yanahatarisha nidhamu na uratibu wa ushirikiano wa pande kadhaa.
-
Al Sudani asisitiza kuondoka haraka wanajeshi vamizi wa Marekani huko Iraq
Jan 11, 2024 07:46Waziri Mkuu wa Iraq ameashiria hatua za kuvuruga usalama na amani vya Marekani na kutaka kuondoka nchini humo wanajeshi vamizi wa Marekani haraka iwezekanavyo.
-
Uhispania na Ubelgiji zatangaza kuwa tayari kuitambua rasmi nchi ya Palestina
Nov 25, 2023 11:47Hatua ya Uhispania na Ubelgiji ya kutangaza kuwa tayari kuitambua rasmi nchi huru ya Palestina ni tukio muhimu kushuhudiwa barani Ulaya kuhusu kadhia ya Palestina. Hatua hii imeukasirisha sana utawala wa Kizayuni.
-
Ukosolewaji mkali wa undumakuwili wa Magharibi kuhusu kadhia ya Israel na Wapalestina
Nov 21, 2023 07:12Waziri Mkuu wa Ireland, Leo Varadkar amekosoa vikali undumilakuwili wa nchi za Magharibi na kusema kuwa Umoja wa Ulaya na madola ya Magharibi yanashughulikia masuala yanayohusiana na Israel na Palestina kwa undumilakuwili wa wazi.
-
Al Sudani: Iraq inapinga kukiukwa mamlaka ya kujitawala ya nchi jirani
Oct 04, 2023 06:48Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kwa mara nyingine tena kwamba nchi yake haitageuzwa kuwa sehemu ya kukika mamlaka ya kujitawala ya nchi yoyote ile hasa nchi jirani.
-
Waziri Mkuu wa Kuwait asisitiza umuhimu wa kadhia ya Palestina
Sep 22, 2023 11:33Waziri Mkuu wa Kuwait Ahmad Nawaf Al-Ahmad Al-Sabah amesisitiza kuwa Palestina ni moja ya masuala muhimu katika ulimwengu wa Kiislamu na ulimwengu wa Kiarabu.
-
Shamkhani asisitiza kuanzishwa utaratibu wa matumizi ya Riyali na Rupia
May 02, 2023 01:33Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ametilia mkazo kuanzishwa utaratibu wa kutumia sarafu ya Riyali na Rupia katika mabadilishano ya kibiashara na kiuchumi kati ya Iran na India.
-
Waziri Mkuu wa Lebanon: Kuna ulazima wa kuchukua hatua haraka ili kuiokoa nchi
Mar 24, 2023 10:00Waziri Mkuu wa Lebanon Najib Miqati amesema, kuna ulazima wa kuchukuliwa hatua za haraka za kuiokoa nchi hiyo.
-
Wimbi jipya la migomo na malalamiko nchini Uingereza; ishara ya kutoridhishwa na serikali ya Sunak
Mar 18, 2023 08:01Mamia ya maelfu ya wananchi wa Uingereza wamemiminika katika mitaa ya mji mkuu wa nchi hiyo, London katika maandamano na migomo mikubwa inayoendelea dhidi ya serikali ya Waziri Mkuu, Rishi Sunak.
-
Muhammad Shia al Sudani: Iran haiingilii masuala ya Iraq; Wamagharibi wanapasa kufahamu mazingira ya Iraq
Mar 16, 2023 04:37Waziri Mkuu wa Iraq amekaribisha mapatano ya Iran na Saudi Arabia na kusema kuwa: Iran kamwe haingilii masuala ya ndani ya Iraq na Wamagharibi wanapasa kufahamu mazingira ya Iraq.