Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Zarif

  • Iran yakosoa sera za kiundumakuwili za Marekani

    Iran yakosoa sera za kiundumakuwili za Marekani

    Dec 03, 2018 03:07

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amelaani sera za kigeni za Marekani ambazo msingi wake ni ndoto na kutozingatia uhalisia wa mambo.

  • Iran: Hatutafanya mazungumzo mengine ya nyuklia na Marekani

    Iran: Hatutafanya mazungumzo mengine ya nyuklia na Marekani

    Nov 23, 2018 01:07

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, licha ya Tehran kuunga mkono makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA), haitafanya mazungumzo mengine ya nyuklia na Marekani.

  • Iran: Taarifa ya Trump ya kuikingia kifua Saudia licha ya mauaji ya Kashoggi ni fedheha

    Iran: Taarifa ya Trump ya kuikingia kifua Saudia licha ya mauaji ya Kashoggi ni fedheha

    Nov 20, 2018 23:41

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja kama fedheha taarifa iliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani akiikingia kifua Saudi Arabia, licha utawala huo kuhusika na mauaji ya mwandishi wa habari na mkosoaji wa ukoo huo wa kifalme, Jamal Khashoggi.

  • Zarif: Iran inajua mpango wa Saudia wa kufanya mauaji ya kigaidi dhidi ya maafisa wa ngazi za juu wa Iran

    Zarif: Iran inajua mpango wa Saudia wa kufanya mauaji ya kigaidi dhidi ya maafisa wa ngazi za juu wa Iran

    Nov 13, 2018 04:53

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran ikuwa na habari kuhusu mpango wa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia wa kutaka kufanya mauaji ya kigaidi dhidi ya baadhi ya maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu.

  • Ujumbe wa Zarif; vikwazo na kufedheheka Marekani

    Ujumbe wa Zarif; vikwazo na kufedheheka Marekani

    Nov 07, 2018 04:46

    Akizungumza jana ikiwa ni siku moja baada ya kuanza kutekelezwa duru ya pili ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amewahutubu viongozi wa Washington kwa kusema, serikali ya Marekani ambayo imeshindwa hata kuwathibitishia wananchi wake kwamba, sera zake ni kwa munufaa ya wananchi inasubiriwa na hatima mbaya katika siku za usoni.

  • Fitina ya Mossad; Njama ya kujaribu kuvuruga uhusiano wa Iran na Umoja wa Ulaya

    Fitina ya Mossad; Njama ya kujaribu kuvuruga uhusiano wa Iran na Umoja wa Ulaya

    Nov 02, 2018 04:20

    Katika kipindi cha wiki moja iliyopita na kabla ya kuanza kutekelezwa awamu ya pili ya vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran ambavyo vimetabiriwa kufeli kufuatia mpango wa Umoja wa Ulaya wa kuendelea kununua mafuta ya Iran, kumeshuhudiwa njama maalumu za kujaribu kuvuruga uhusiano wa Iran na Umoja wa Ulaya.

  • Zarif: Mossad inatekeleza njama za kuvuruga uhusiano wa Iran na EU

    Zarif: Mossad inatekeleza njama za kuvuruga uhusiano wa Iran na EU

    Nov 01, 2018 03:16

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema madai ya Denmark dhidi ya Iran ni katika fremu ya oparesheni ya upotoshaji inayotekelezwa na shirika la kijasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel linalojulikana kama Mossad.

  • Dakta Zarif: Jamii ya Kimataifa imesimama dhidi ya vikwazo vya Marekani

    Dakta Zarif: Jamii ya Kimataifa imesimama dhidi ya vikwazo vya Marekani

    Oct 30, 2018 22:56

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, jamii ya kimataifa imesimama dhidi ya vikwazo vya Marekani kiasi kwamba, majirani na nchi za Ulaya zimesimama kidete dhidi ya hatua za upande mmoja za serikali ya Washington.

  • Zarif: Hakuna dhalimu yeyote awezaye kuyazima mapambano ya kupigania uadilifu

    Zarif: Hakuna dhalimu yeyote awezaye kuyazima mapambano ya kupigania uadilifu

    Oct 30, 2018 04:30

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Hakuna dhalimu yeyote awezaye katu kuyazima mapambano ya kupigania uadilifu.

  • Arubaini ya Imam Husain AS, nembo ya umoja baina ya Iran na Iraq

    Arubaini ya Imam Husain AS, nembo ya umoja baina ya Iran na Iraq

    Oct 26, 2018 10:08

    Maandamano ya mamilioni ya watu katika Arubaini ya Imam Husain AS na wajibu wa kuimarishwa kadiri inavyowezekana uhusiano wa Tehran na Baghdad ndiyo ajenda kuu ya mazungumzo ya simu yaliyofanywa baina ya mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Iraq.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS