-
Washukiwa wawili watiwa nguvuni kuhusiana na mlipuko wa Zimbabwe
Jul 04, 2018 09:25Polisi nchini Zimbabwe imewatia mbaroni washukiwa wawili kuhusiana na mlipuko wa guruneti ulioua watu wawili na kuwajeruhi wengine 47 katika mkutano wa kampeni wa Rais Emmerson Mnangagwa mwezi uliopita.
-
Mnangagwa ailaumu G40 inayomuunga mkono Grace Mugabe kwa mripuko
Jun 27, 2018 23:01Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amesema anashuku huenda kundi la G40 linalomuunga mkono Grace Mugabe, mke wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo ndilo lililohusika katika kile anachokitaja kama jaribio la mauaji dhidi yake katika mji wa Bulawayo Jumamosi iliyopita.
-
Polisi nchini Zimbabwe yamtia mbaroni kiongozi wa upinzani
Jun 26, 2018 10:58Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe amekamatwa na polisi ya nchi hiyo baada ya kushinikiza kujiuzulu kwa mkuu wa Tume ya Uchaguzi, mwezi mmoja kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu nchini humo.
-
Watu wawili wamekufa kufuatia majeraha ya mlipuko uliotokea Zimbabwe
Jun 26, 2018 03:24Watu wawili wameaga dunia Zimbabwe kutokana na majeraha waliyopata kwenye mlipuko uliotokea katika mkutano wa hadhara wa kampezi za uchaguzi huko Bulawayo siku ya Jumamosi.
-
Mnangagwa: Nilikuwa karibu sana na mlipuko; uchaguzi utaendelea kama ilivyopangwa + Video
Jun 24, 2018 08:46Rais wa Zimbabwe amesema kuwa uchaguzi wa rais nchini humo utafanyika tarehe 30 Julai kama ilivyopangwa licha ya kile kinachosemekana ni jaribio la kutaka kumua jana Jumamosi.
-
Iran yalaani jaribio la mauaji dhidi ya Rais wa Zimbabwe
Jun 24, 2018 03:03Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali jaribio lililofeli la mauaji dhidi ya Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa katika mji wa Bulawayo jana Jumamosi.
-
Rais wa Zimbabwe: Siku yangu ya kufa bado haijafika + Video
Jun 24, 2018 00:15Rais wa Zimbabwe amesema baada ya kunusurika kifo katika mlipuko wa jana kwamba, siku yake ya kufa ilikuwa haijafika.
-
Bunge la Zimbabwe latupilia mbali mpango wa kumsaili Mugabe
Jun 12, 2018 02:40Bunge la Zimbabwe limetupilia mbali mpango wa kutaka kumsaili rais wa zamani wa nchi hiyo, Robert Mugabe, kuhusu utendaji wa migodi ya almasi wakati wa uongozi wake.
-
Uchaguzi mkuu wa Zimbabwe kufanyika tarehe 30 Julai
May 30, 2018 10:48Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ametangaza kuwa uchaguzi mkuu wa nchi hiyo utafanyika tarehe 30 Julai.
-
Wafanyakazi wa sekta ya umma Zimbabwe wakataa nyongeza kubwa ya mshahara
May 15, 2018 22:48Wafanyakazi wa sekta ya umma nchini Zimbabwe wamekataa nyongeza ya mshahara ya asilimia 15 iliyoahidiwa na serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa wa nchi hiyo na wametaka kuzidishwa zaidi ya mara mbili mshahara wa watumishi wa kiwango cha chini.