Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Zimbabwe

  • Uingereza kuwatimua maelfu ya wahajiri wa Zimbabwe

    Uingereza kuwatimua maelfu ya wahajiri wa Zimbabwe

    Feb 16, 2018 23:10

    Serikali ya Uingereza imetangaza azma yake ya kuwafukuza nchini humo maelfu ya wahajiri haramu raia wa Zimbabwe.

  • Rais wa Zimbabwe amteua Jaji wa Mahakama Kuu kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi

    Rais wa Zimbabwe amteua Jaji wa Mahakama Kuu kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi

    Jan 31, 2018 23:09

    Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amemteua Jaji wa Mahakama Kuu Priscilla Chigumba kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi wakati nchi hiyo inajiandaa kwa uchaguzi mkuu muhimu ambao itibari yake inatazamiwa kuwa na umuhimu mkubwa katika kujenga tena uhusiano wake wa nje.

  • Rais wa Zimbabwe: Nitaheshimu matokeo ya uchaguzi wa rais

    Rais wa Zimbabwe: Nitaheshimu matokeo ya uchaguzi wa rais

    Jan 24, 2018 11:09

    Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ameahidi kuwa nchi hiyo itafanya uchaguzi wa urais kabla ya Julai mwaka huu na kwamba ataheshimu uamuzi wa wananchi.

  • Chama tawala Zimbabwe chawatimua bungeni wafuasi 11 wa Mugabe

    Chama tawala Zimbabwe chawatimua bungeni wafuasi 11 wa Mugabe

    Jan 19, 2018 04:17

    Chama tawala nchini Zimbabwe ZANU-PF kimewafukuza bungeni waitifaki na wafuasi 11 wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Robert Mugabe, huku rais mpya Emmerson Mnangagwa akiendelea kuwatimua maafisa waliomuunga mkono hadharani Mugabe na mkewe Grace.

  • Rais Mnangagwa: Uchaguzi wa Zimbabwe kufanyika baada ya miezi minne au mitano

    Rais Mnangagwa: Uchaguzi wa Zimbabwe kufanyika baada ya miezi minne au mitano

    Jan 19, 2018 00:57

    Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ametangaza kuwa, uchaguzi mkuu wa nchi hiyo utafanyika katika kipindi cha miezi minne au mitano ijayo.

  • Mawaziri wawili wa serikali iliyopita ya Zimabwe wafunguliwa mashtaka ya ufisadi

    Mawaziri wawili wa serikali iliyopita ya Zimabwe wafunguliwa mashtaka ya ufisadi

    Jan 06, 2018 13:26

    Mawaziri wawili waliohudumu katika serikali ya aliyekuwa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe wamefunguliwa mashtaka ya ufisadi, katika kile kinachoonekana kama hatua ya kuwakandamiza maafisa waaminifu kwa Mugabe.

  • Rais wa Zimbabwe abadilisha msimamo kuhusu serikali ya umoja wa kitaifa

    Rais wa Zimbabwe abadilisha msimamo kuhusu serikali ya umoja wa kitaifa

    Jan 05, 2018 23:30

    Habari kutoka nchini Zimbabwe zinasema kuwa rais wa nchi hiyo amekubaliana na mpango wa kuweko serikali ya umoja wa kitaifa nchini humo.

  • Maveterani Zimbabwe: Jeshi kama lingechelewa kumtimua Mugabe, tungemtimua sisi

    Maveterani Zimbabwe: Jeshi kama lingechelewa kumtimua Mugabe, tungemtimua sisi

    Dec 29, 2017 12:33

    Mashujaa wa vita vya ukombozi nchini Zimbabwe wametangaza kwamba, walikuwa wamepanga mkakati wa kumuondoa madarakani rais wa zamani wa nchi hiyo, Robert Mugabe wiki chache kabla ya jeshi kumtimua.

  • Mkuu wa zamani wa vikosi vya ulinzi Zimbabwe aapishwa; Mugabe nae apatiwa haki za kidiplomasia

    Mkuu wa zamani wa vikosi vya ulinzi Zimbabwe aapishwa; Mugabe nae apatiwa haki za kidiplomasia

    Dec 29, 2017 00:11

    Mkuu wa vikosi vya ulinzi wa Zimbabwe aliyejiuzulu ambaye aliongoza mapinduzi yasiyo ya umwagaji damu na kuhitimisha utawala wa miaka 37 wa Robert Mugabe jana Alhamisi aliapishwa kuwa Makamu wa Rais wa nchi hiyo na hivyo kuwa kiongozi wa ngazi ya juu zaidi wa kijeshi kuingia serikalini.

  • Mkuu wa majeshi ya Zimbabwe aliyejiuzulu kuapishwa kuwa makamu wa rais

    Mkuu wa majeshi ya Zimbabwe aliyejiuzulu kuapishwa kuwa makamu wa rais

    Dec 28, 2017 04:28

    Aliyekuwa Kamanda wa Vikosi vya Ulinzi nchini Zimbabwe Jenerali Constantino Chiwenga ambaye aliongoza mapinduzi baridi ya kijeshi dhidi ya Robert Mugabe anatazamiwa kuapishwa leo Alkhamisi kuwa makamu wa Rais Emmerson Mnangagwa wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS