-
Mlipuko mkubwa wautikisa mji mkuu wa Lebanon, Beirut + video
Aug 04, 2020 17:09Mlipuko mkubwa umeutikisha mji mkuu wa Lebanon, Beirut. Mlipuko huo umejiri leo jioni karibu na Bandari ya Beirut na inahofiwa kuwa watu wasiopungua 10 wamefariki.
-
Swala ya kwanza ya Ijumaa yaswaliwa Hagia Sophia Uturuki baada ya zaidi ya miaka 85 +VIDIO
Jul 24, 2020 12:44Swala ya kwanza ya Ijumaa imefanyika leo katika jengo la Hagia Sophia mjini Istanbul baada ya jumba hilo la makumbusho kubadilishwa na kuwa msikiti.
-
Iran yalaani ukatili wa polisi wa Marekani kwa kumuua raia mweusi + Video
May 27, 2020 16:06Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali ukatili wa polisi ya Marekani uliopelekea kupoteza maisha raia mwengine mwenye asili ya Afrika.
-
Iran yaonesha ishara ya kuidhibiti corona, yafungua Haram za Imam Ridha na bibi Maasuma AS + Video
May 25, 2020 12:17Milango ya maeneo ya ibada na ziara yaani Haram za Imam Ridha AS, Imam wa Nane kutoka kizazi cha Bwana Mtume Muhammad SAW huko Mash'had na Haram ya Bibi Maasuma SA, ndugu wa kike wa Imam Ridha AS iliyoko Qum, kusini mwa Tehran leo Jumatatu asubuhi zimefunguliwa ikiwa ni ishara ya wazi ya kuzidi kudhibitiwa ugonjwa wa corona nchini Iran.
-
Kwa uchache watu 11 wajeruhiwa Australia baada ya dereva mmoja kulipigiza gari na duka la Hijab + Video
May 21, 2020 08:08Kwa uchache watu 11 wamejeruhiwa baada ya gari moja kuvamia kwa makusudi duka moja la nguo za staha ya mwanamke Muislamu yaani Hijab huko Greenacre, New South Wales, Australia. Dereva wa gari hiyo amegonga gari nyingine kabla ya kukanyaga mafuta kwa nguvu zote na kuipigiza gari hiyo na duka hilo la Hijab.
-
Mashambulizi makali ya waasi yaharibu Uwanja wa Ndege wa Tripoli Libya, yaua watu 6 + Video
May 10, 2020 07:49Mashambulizi makali ya maroketi yaliyofanywa jana Jumamosi na waasi dhidi ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mitiga, jijini Tripoli, Libya yameua raia sita na kusababisha hasara kubwa kwenye uwanja huo.
-
Jeshi la IRGC larusha satalaiti ya kwanza ya kijeshi ya Iran katika anga za mbali + Video
Apr 22, 2020 08:10Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limerusha kwa mafanikio satalaiti ya kwanza ya kijeshi ya Iran katika anga za mbali.
-
Askari wa Uturuki wakimbia kwa makundi katika viunga vya Idlib, Syria + Video
Mar 04, 2020 13:24Kufuatia mashambulizi makali ya anga na mizinga ya jeshi la Syria dhidi ya maeneo ya jeshi la Uturuki katika viunga vya mkoa wa Idlib, askari wa Uturuki wameonekana wakikimbia kwa makundi katika maeneo hayo.
-
Kiongozi Muadhamu ashiriki uchaguzi wa Bunge na wa Baraza la Wanavyuoni Wataalamu + Video
Feb 21, 2020 07:24Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo asubuhi, amepiga kura katika dakika za awali kabisa za kuanza zoezi la upigaji kura za uchaguzi wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na uchaguzi mdogo wa Baraza la Wanavyuoni Wataalamu Wanaomchagua na Kusimamia Kazi za Kiongozi Muadhamu.
-
Msemaji wa Jeshi: Anga ya Yemen si salama tena kwa ndege za kivita za Saudia + Video
Feb 21, 2020 06:42Msemaji wa Majeshi ya Yemen amesema kuwa, sasa ndege za kivita za wavamizi wa nchi hiyo hasa Saudi Arabia hazina usalama tena katika anga ya Yemen baada ya kuzinduliwa mifumo mipya ya ulinzi wa anga wa nchi hiyo.