-
Iran yaanza kuzalisha kwa wingi ndege ya kivita aina ya 'Kauthar' + Video
Nov 04, 2018 02:41Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza kuzalisha kwa wingi ndege ya kisasa ya kivita iliyopewa jina la 'Kauthar'.
-
Kiongozi Muadhamu: Kutoa taswira ghalati kuhusu hali ya Iran, ajenda kuu ya adui + Video
Oct 18, 2018 08:06Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu jana asubuhi alionana na takriban vijana bora elfu mbili wenye vipaji na vipawa tofauti vya kielimu na kusisitiza kuwa, juhudi na kazi za makumi ya maelfu ya watu wenye vipaji katika kona zote za Iran zinachora taswira inayoleta matumaini na kuonesha hali halisi ilivyo humu nchini.
-
VIDEO: Boti za Kasi za Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH zinavyopambana na manuwari za Marekani Ghuba ya Uajemi
Oct 14, 2018 14:17Kwa mara ya kwanza Iran imetoa video inayoonesha boti za kasi za Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH zikikaribia manuwari ya kivita ya Marekani katika maji ya Ghuba ya Uajemi.
-
Mazungumzo ya Makamu wa Rais wa Iran na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Kenya
Oct 04, 2018 14:19Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya elimu na teknolojia amekutana na kufanya mazungumzo mjini Nairobi na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Kenya na kusisitiza juu ya kustawishwa usafirishwaji nje bidhaa za teknolojia.
-
Rais Rouhani ayashukuru majeshi ya Iran kwa jibu kali kwa magaidi + Video
Oct 04, 2018 02:42Rais Hassan Rouhani amevishukuru vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa majibu makali na ya kina dhidi ya viongozi wa magaidi waliohusika katika shambulizi la kigaidi la Ahvaz, kusini magharibi mwa Iran na kusisitiza kuwa: Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu limetoa majibu makali kabisa kwa magaidi ambao waliwashambulia bila huruma wanawake na watoto wadogo nchini Iran.
-
Pigo jingine kubwa kwa Trump: Mahakama ya juu zaidi ya UN yaiamrisha Marekani iiondolee vikwazo Iran + Video
Oct 03, 2018 14:29Tehran imepata ushindi mwingine mbele ya Marekani baada ya Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) kutoa amri kwa Washington kusimamisha vikwazo vyake vya upande mmoja haraka iwezekanavyo dhidi ya Iran.
-
Iran yashambulia kwa makombora makao ya viongozi wa jinai za Ahvaz + Video
Oct 01, 2018 03:36Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH limeshambulia kwa makombora makao ya wakuu wa genge la kigaidi lililohusika katika mashambulizi ya kiholela yaliyotokea hivi karibuni katika mji wa Ahvaz wa kusini magharibi mwa Iran.
-
Ibrahim al-Jaafari: Madai ya Netanyahu juu ya uwepo wa askari wa Iran nchini Iraq ni uongo mtupu + Video
Sep 29, 2018 15:13Ibrahim al-Jaafari, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq ametupilia mbali madai yasiyo na msingi wowote ya Waziri Mkuu wa utawala Haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu juu ya uwepo wa askari wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Iraq na kuongeza kuwa, maneno hayo ni uongo mtupu.
-
Ndege irukayo kwa mwendo wa kasi kuliko ya sauti ya “Kowsar”; kielelezo cha uwezo wa Iran unaotokana na wataalamu wa ndani + Video
Aug 23, 2018 01:40Rais Hassan Rouhani amesema: "kujizatiti kulinzi Iran maana yake si kushupalia vita ila ni kutaka kuwa na usalama na amani endelevu, kwa sababu historia imetufunza kuwa kama hatutakuwa imara na wenye nguvu tutasambaratishwa."
-
Zarif: Dunia haiafikiani na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran + Video
Aug 08, 2018 14:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, dunia haiafikiani na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran na kusema kuwa, sasa hivi nchi mbalimbali duniani zinafanya juhudi za kupambana na vikwazo hivyo.