-
Iran yalaani jaribio la kutaka kumuua Rais wa Venezuela + Video
Aug 05, 2018 15:42Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali jaribio la kutaka kumuua rais wa Venezeula Nicolas Maduro.
-
Zarif: Marekani imepatwa na uraibu wa kuweka vikwazo
Jul 30, 2018 07:49Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema Marekani imepatwa na uraibu wa kuweka vikwazo dhidi ya nchi mbalimbali na kwamba Wairani watavuka kipindi kigumu cha sasa kwa umoja na mshikamano wao.
-
Mnangagwa: Nilikuwa karibu sana na mlipuko; uchaguzi utaendelea kama ilivyopangwa + Video
Jun 24, 2018 13:16Rais wa Zimbabwe amesema kuwa uchaguzi wa rais nchini humo utafanyika tarehe 30 Julai kama ilivyopangwa licha ya kile kinachosemekana ni jaribio la kutaka kumua jana Jumamosi.
-
Rais wa Zimbabwe: Siku yangu ya kufa bado haijafika + Video
Jun 24, 2018 04:45Rais wa Zimbabwe amesema baada ya kunusurika kifo katika mlipuko wa jana kwamba, siku yake ya kufa ilikuwa haijafika.
-
Answarullah wasambaza video nyingine inayoonesha uongo wa Saudia kuhusu vita vya Yemen + Video
Jun 18, 2018 02:33Harakati ya Answarullah ya Yemen kwa mara nyingine tena imesambaza mkanda wa video ili kukanusha madai ya uongo yaliyotangazwa na Saudi Arabia na wavamizi wenzake kuwa eti wameuteka uwanja wa ndege wa al Hudaydah.
-
Umoja wa Ulaya: Tutayalinda mapatano ya nyuklia ya Iran licha ya Marekani kujitoa + Video
May 28, 2018 15:28Mkuu wa Sera za Kigeni za Umoja wa Ulaya amesema kuwa umoja huo umeazimia kikweli kweli kuyalinda mapatano ya nyuklia yaliyofikiwa mwaka 2015 baina ya Iran na kundi la 5+1, licha ya Marekani kujitoa katika mapatano hayo ya kimataifa.
-
'Buibui-mtu' apewa uraia Ufaransa kwa kumwokoa mtoto asianguke ghorofani + Video
May 28, 2018 15:21Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametoa amri ya kupewa uraia Mamoudou Gassama mhamiaji kutoka Mali ambaye ameonesha ushujaa mkubwa wa kukwea kwa umahiri wa kipekee dari za nyumba za jengo kubwa la ghorofa na kumuokoa mtoto aliyekuwa anakaribia kuanguka.
-
VIDEO: Zitto Kabwe aiunga mkono Iran, Qatar na Palestina; aitaka Tanzania kuzitetea kwa nguvu zote
May 23, 2018 14:58Zitto Zuberi Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini, kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania ameitaka nchi hiyo kukemea hatua ya Marekani ya kujitoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kwa jina la JCPOA licha ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA kuthibitisha mara 11 kuwa Iran imeheshimu kikamilifu mapatano hayo.
-
Sanaa za mikono, Bandar Abbas, Iran + Video
May 05, 2018 12:13Iran ni nchi yenye utamaduni mkongwe sana. Ni ya watu wa makabila, kaumu, rangi, sura, ustaarabu, tamaduni na mavazi ya kila namna.
-
Ujumbe Muhimu wa Zarif kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran + VIDEO
May 04, 2018 16:33Katika Ujumbe wake wa video hapo jana Alkhamisi, Muhammad Jawad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alisema kuwa kuna chaguo moja tu la kufanikisha makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na nchi sita kubwa za dunia, nalo ni Marekani kutekeleza ahadi zake zote kuhusiana na makubaliano hayo.