-
Umoja wa Mataifa walaani shambulizi la leo la kigaidi la nchini Libya + Video
May 02, 2018 15:40Kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Libya UNSMIL kimelaani shambulizi la kigaidi lililotokea leo katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi mjini Tripoli na kupelekea watu 14 kuuawa.
-
Shambulizi dhidi ya makao makuu ya Tume ya Uchaguzi Libya laua 14 + Video
May 02, 2018 14:58Kwa akali watu 14 wameuawa baada ya kundi la kigaidi kushambulia kwa mabomu na risasi makao makuu ya Tume ya Uchaguzi nchini Libya leo Jumatano.
-
Mshiriki wa Tanzania katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran +Video
May 01, 2018 17:32Mashindano ya 35 ya Kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Qur'ani Tukufu ya Iran yalimalizika Jumatano 15 Aprili hii huku kukitolewa wito wa Umoja na kushikamana na Qur'ani Tukufu.
-
Rais Rouhani: Njama kubwa za maadui ni kulikatisha tamaa taifa la Iran + Video
Apr 29, 2018 15:37Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njama kubwa zinazoendeshwa na maadui wa taifa hili hivi sasa ni kujaribu kuwavunja moyo na kuwakatisha tamaa wananchi wa Iran.
-
Saudia yawashambulia Wayemen wakati maelfu wakimzika kiongozi wao + Video
Apr 28, 2018 16:18Makumi ya maelfu ya wananchi wa Yemen, leo wamemiminika katika mitaa ya mji mkuu Sana'a kushiriki katika maziko ya kiongozi wa ngazi za juu wa harakati ya wananchi ya Answarullah aliyeuliwa shahidi na ndege za kivita za utawala vamizi wa Saudi Arabia.
-
Watu 257 wapoteza maisha katika ajali ya ndege nchini Algeria + Video
Apr 11, 2018 13:48Televisheni ya serikali ya Algeria imetangaza kuwa, watu wasiopungua 257 wamepoteza maisha baada ya ndege ya kijeshi kuanguka katika uwanja wa ndege wa Boufarik, nje ya mji mkuu wa nchi hiyo, Algiers.
-
Waislamu Tanzania waja juu baada ya kutishiwa kuvunjwa msikiti wao + Video
Mar 04, 2018 17:08Waislamu mkoani Rukwa Tanzania wamemlalamikia vikali mkuu wa mkoa huo kwa kufanya njama za kutaka kuvunja msikiti ambao umekuwa unaendelea na ujenzi kwa muda wa miaka mingi.
-
Meli ya mafuta ya Iran yazama baada ya kuwaka moto wiki moja, wahudumu 32 wafariki + Video
Jan 14, 2018 14:20Meli ya mafuta ya Iran, MV Sanchi imezama katika Bahari ya China Mashariki baada ya kugongana na meli nyingine na kuwaka moto kwa muda wa wiki moja. Wahudumu wote 32 wa meli hiyo ya mafuta wamepoteza maisha yao.
-
Wazayuni wavamia sehemu alipozaliwa Nabii Issa (Yesu) wawapiga mabomu Wakristo (+ Picha, Video)
Dec 24, 2017 16:41Bila ya kujali utukufu wa eneo alipozaliwa Nabii Isa AS, kwa mara nyingine jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeuvamia mji wa Baytullahm (Bethlehem) na kuwashambulia kwa mabomu ya kutoa machozi Wapalestina waliokuwa wanaandamana kupinga siasa za kiuadui za Marekani dhidi ya eneo hilo takatifu.
-
Hali ya Karbala wakati wa Arubaini ya Imam Husain AS + Video
Nov 07, 2017 11:27Hali na mazingira ya wakati huu katika ardhi tukufu za Iraq inakuwa ni ya kipekee kabisa katika kila upande. Ni hali na mazingira ambayo hayapatikani katika sehemu yoyote ya dunia.