-
Mkutano wa Kimataifa wa Mabunge wagubikwa na malalamiko dhidi ya Israel + Video
Oct 19, 2017 13:03Spika wa Bunge la Kuwait ameutaja ujumbe wa utawala wa Kizayuni katika Mkutano wa Umoja wa Mabunge huko Russia kuwa ni ghasibu na unaoua watoto na akautaka ujumbe huo utoke kwenye ukumbi unapofanyikia mkutano huo.
-
Mbunge wa Kuwait akemea vikali ujumbe wa Israel katika mkutano wa mabunge + Video
Oct 19, 2017 07:38Spika wa Bunge la Kuwait ameukemea vikali ujumbe wa bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel na kuulazimisha kuondoka katika mkutano wa kimataifa nchini Russia.
-
Rouhani: Iwapo Marekani itajitoa katika JCPOA madhara ya jambo hilo litaidhuru Marekani yenyewe
Oct 11, 2017 16:53Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, iwapo Marekani itajitoa katika makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina maarufu la JCPOA, madhara ya kujitoa huko yatawakumba Wamarekani wenyewe. Amesisitiza kuwa, Iran haitakwamishwa na jambo lolote katika kufikia malengo yake.
-
Rais Rouhani: Iran inataka kuwepo amani Mashariki ya Kati, Peninsula ya Korea na Asia
Sep 06, 2017 16:12Rais Hassan Rouhani amesema amani ya bara la Asia hususan Peninsula ya Korea na eneo la Mashariki ya Kati vina umuhimu kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Jeshi la Syria lavunja mzingiro wa miaka 3 wa Dayr al-Zawr
Sep 04, 2017 07:48Kundi la kwanza la jeshi la Syria na wapiganaji wa Hizbullah limeingia katika mji wa Dayr al-Zawr uliokuwa ukizingirwa na wapiganaji wa kundi la kigaidi la Daesh kwa kipindi cha miaka 3.
-
Libya: Kibaraka wa Mossad alikuwa imamu wa Swala za jamaa na kiongozi wa Daesh Libya + Video
Aug 26, 2017 15:26Maafisa wa Libya wamethibitisha kuwa, wamemtia nguvuni kiongozi wa kundi la Daesh ambaye alikuwa akilifanyia kazi shirika la ujasusi la Israel, Mossad.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Tuhesabu nafsi zetu kabla ya kuhesabiwa
Aug 11, 2017 16:13Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amewataka waumini kuhesabu nafsi zao kabla ya kuhesabiwa Siku ya Kiyama.
-
Iran: Yaishitaki Marekani kwa hatua yake ya kuiwekea vikwazo vipya Tehran
Aug 01, 2017 14:14Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran sambamba na kubainisha kwamba, ukiukaji wa makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kwa kifupi kama JCPOA uliofanywa na Marekani uko wazi, amesema kuwa Jamhuri ya Kiislam ya Iran imewasilisha mashitaka kwenda kwa baraza na kamisheni inayosimamia makubaliano hayo, kutokana na hatua ya Washington ya kuliwekea taifa hili vikwazo vipya.
-
Wataalamu watangaza dawa ya kukinga Ukimwi, Mkutano wa Kimataifa wa Ukimwi, Paris
Jul 27, 2017 15:59Wataalamu walioshiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa Ukimwi uliofanyika Paris nchini Ufaransa wametangaza mbinu mpya ya kuzuia maambukizi ya virusi vya HIV na kutibu maradhi ya Ukimwi.
-
Watunisia waandamana kupinga maonyesho ya vichekesho ya Mzayuni nchini kwao
Jul 21, 2017 03:33Watunisia wamefanya maandamano mjini Tunis kupinga maonyesho ya vichekesho ya Michel Boujenah Mzayuni mwenye uraia wa nchi mbili za Ufaransa na Tunisia nchini mwao.