Video
  • Ukosefu wa umakini ulivyosababisha ajali mbaya kazini

    Ukosefu wa umakini ulivyosababisha ajali mbaya kazini

    May 31, 2016 13:19

    Baadhi ya wakati hata uzoefu unapokosa umakini husababisha maafa kama kinavyoonesha kipande hiki cha video

  • Elimu inavyopatikana kwa shida

    Elimu inavyopatikana kwa shida

    May 29, 2016 09:18

    Kutafuta elimu, kama kwa baadhi ya watu ni rahisi, kwa watoto hawa wa nchini China si jambo jepesi hata kidogo. Kila siku wanalazimika kupita kwenye njia hizi za hatari na kupanga ngazi zilizojaa hatari ndipo wafike shuleni. Cha ajabu ni kwamba hata wanyama nao wamejifunza kupanda ngazi hizo.

  • Askari Marekani alivyokoka baada ya kuangukiwa na mti mkubwa

    Askari Marekani alivyokoka baada ya kuangukiwa na mti mkubwa

    May 29, 2016 09:14

    Mwanadamu si mjuzi wa jambo litakalomtokea sekunde chache baadaye. Askari huyu wa nchini Marekani angelijua ataangukiwa na mti, angeliakhirisha kazi yake japo kwa dakika chache, lakini...

  • Mpanda pikipiki nusura alaliwe na lori la mchanga China

    Mpanda pikipiki nusura alaliwe na lori la mchanga China

    May 29, 2016 09:11

    Kama siku zako hazijafika, hufikwi na lolote kama inavyoonesha mpanda pikipiki huyu alivyookoka kwa sekunde chache tu kuelemewa na lori la mchanga nchini Uchina.

  • Mmarekani azima miale 191 ya moto mkali kwa ulimi wake

    Mmarekani azima miale 191 ya moto mkali kwa ulimi wake

    May 29, 2016 09:08

    Hii ni dunia ya kutafuta umaarufu. Mmarekani aweka rekodi ya kuzima miale 191 ya moto mkali kwa ulimi wake.

  • Kibarua alivyookoka kimiujiza kazini

    Kibarua alivyookoka kimiujiza kazini

    May 29, 2016 09:05

    Hakuna kazi isiyo na tabu zake na ajali kazini ni jambo la kawaida hasa katika kazi za kutumia nguvu kama inavyoonesha video hii.

  • Ngedere khabithi

    Ngedere khabithi

    May 27, 2016 13:16

    Katika wanyama wenye maudhu, tumbili au ngedere ni nambari moja. Ona tumbili huyu anavyoyachokoza makinda ya chui, baada ya kupata uhakika hayawezi kumfanya chochote...

  • Mtangazaji apigwa kibao akiwa LIVE hewani, kulikoni?

    Mtangazaji apigwa kibao akiwa LIVE hewani, kulikoni?

    May 21, 2016 17:14

    Mtangazaji wa televisheni ya Russia Today bila ya kutarajia alishitukia anazabwa kibao na mmoja wa waandamanaji wakati alipokuwa LIVE hewani akitoa ripoti kuhusu maandamano mapya ya wafanyakazi jijini Paris, Ufaransa.

  • Ndege wachokozi

    Ndege wachokozi

    May 21, 2016 17:09

    Kila kiumbe hai kimetengewa na wakati wake wa starehe, lakini starehe ya ndege hawa ni kuwachokoza wanyama wenzao... Angalia mwenyewe...