Video
  • Uzembe katika kukata mti wamponza

    Uzembe katika kukata mti wamponza

    May 21, 2016 17:02

    Akili isiyo na maarifa huponza. Angalia uzembe aliofanya wakati anakata mti matokoe yake...

  • Wakati chui aina ya

    Wakati chui aina ya "jaguar" anapoamua kuwinda mfalme wa mtoni, mamba...

    May 17, 2016 09:59

    Ingawa mamba anaonekana kuwa myama hatari zaidi anapokuwa mtoni, na ingawa kesi nyingi zilizoripotiwa, huwa zinahadithia mashambulizi yanayofanywa na mambo kwa watumiaji wa mto, lakini si kila siku mambo ni mshambuliaji kama inavyoonesha video hii fupi

  • Wanyama werevu

    Wanyama werevu

    May 17, 2016 09:55

    Kila kiumbe cha Mwenyezi Mungu, kimeumbwa kwa hekima na umakini wa hali ya juu na kila leo kunagunduliwa maajabu mapya kutoka kwa viumbe hao kama inavyoonesha video hii kuhusu mambo ya ajabu yanayoweza kufanywa na wanyama na kuzidi kumfanya mwanadamu akiri uwezo usio na kifani wa Mwenyezi Mungu

  • Nguvu za ndege aina ya tai

    Nguvu za ndege aina ya tai

    May 10, 2016 10:18

    Mwenyezi Mungu amewajaalia ndege aina ya tai kuwa na uwezo mkubwa wa kushambulia wanyama hata wakubwa na kuruka nao. Kipande hiki cha video kinaonesha sehemu ndogo ya nguvu hizo.

  • Uchaguzi Marekani: Ted Cruz amtwanga ngumi mkewe baada ya kushindwa na Trump

    Uchaguzi Marekani: Ted Cruz amtwanga ngumi mkewe baada ya kushindwa na Trump

    May 04, 2016 11:33

    Ted Cruz aliyekuwa anawania kuteuliwa na chama chake cha Republican kugombea urais wa Marekani wa tiketi ya chama hicho alishitukia amempiga ngumi ya uso mkewe, baada ya kushindwa na mgombea mwenzake Donald Trump na kuamua kujitoa kwenye kinyang'anyiro hicho.

  • Gari ilivyosombwa na maji ya mafuriko Kenya

    Gari ilivyosombwa na maji ya mafuriko Kenya

    May 01, 2016 09:22

    Mara nyingi uamuzi wa mtu mwenyewe ndio unaomtumbukiza kwenye matatizo kama ilivyojiri kwa derehe huyu wakati alipojaribu kuvuka daraja lililofunikwa na mafuriko nchini Kenya.

  • Je simba kweli ni mfalme wa mwituni?

    Je simba kweli ni mfalme wa mwituni?

    Apr 30, 2016 09:05

    Imezoeleka kusikika watu wakimpandisha daraja ya juu simba na kufikia hadi ya kumwita ni mfalme wa mwituni, lakini video hii angalau itatilia shaka madai hayo na kukufanya ujiulize, hivi ni kweli simba ni mfalme wa mwituni.

  • Nyani walivyomuokoa swala na kifo

    Nyani walivyomuokoa swala na kifo

    Apr 30, 2016 07:43

    Dunia ya wanyama ni ya sheria za msituni, mwenye nguvu kumla mwenzake, lakini baadhi ya wakati hutokezea matukio ambayo huwaokoa wanyonge kutoka katika tundu ya sindano kama alivyookoka swala huyu

  • Baadhi ya wakati wanyama wanawazidi binadamu kwa wema na ihsani

    Baadhi ya wakati wanyama wanawazidi binadamu kwa wema na ihsani

    Apr 23, 2016 07:19

    Licha ya mnyama huyu anayejulikana kwa jina la dubu kuwa na njaa lakini njaa yake haikuwa sababu ya kumwanya ndege huru anayezama, afariki dunia na wala haikuwa sababu kwake kumla