-
Uturuki, Saudi Arabia na Pakistan zasaini mkataba wa pamoja wa ulinzi huku nguvu ya Marekani ikipungua
Aug 08, 2026 02:46Saudi Arabia imesaini makubaliano ya pamoja ya ulinzi kati yake na Uturuki Pakistan kwa lengo la kuimarisha usalama wa pamoja na ushirikiano wa kijeshi huku nguvu za kijeshi za Marekani zikipungua katika eneo hili.
-
Mashambulizi mapya ya Yemen yaangamiza mamluki wa Saudia wasiopungua 58
Aug 07, 2026 13:39Vikosi vya ulinzi vya Yemen vimefanya operesheni kubwa iliyozilenga ngome za kijeshi na vituo vikuu vya kamanda za kijeshi zilizokuwa zikisimamiwa na mamluki wanaoungwa mkono na Saudi Arabia nchini humo.
-
Mkuu wa Mossad awatimua maafisa wawili wakuu kwa kufeli mpango wa kuipindua serikali ya Iran
Aug 07, 2026 12:29Mkuu wa shirika la ujasusi na ugaidi la utawala wa kizayuni wa Israel Mossad, Roman Gofman, amewafukuza kazi maafisa wawili wakuu wa intelijensia baada ya kushindwa au kutotekelezwa mpango wa kuipindua serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Taarifa ya nchi 8 za Kiarabu na Kiislamu yalaani jinai za Israel Ghaza
Aug 07, 2026 03:32Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi nane za Kiarabu na Kiislamu wametoa taarifa ya pamoja ambapo mbali na kulaani uchokozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel huko katika Ukanda wa Ghaza na Ukingo wa Magharibi wamelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa liulazimishe utawala huo utekeleze majukumu yake na kuwawajibisha wale wanaokiuka haki za Wapalestina.
-
Ripoti: Mashambulio ya Marekani yaliua na kujeruhi mamia ya raia Yemen mwaka jana; Washington inaficha idadi kamili ya wahanga
Aug 06, 2026 11:04Mashambulio ya anga ya Marekani nchini Yemen yalisababisha vifo au majeraha kwa mamia ya raia mwaka jana, hata hivyo utawala wa Trump umeficha kwa makusudi idadi kamili ya waliofariki na kushindwa kuwasilisha kwa Bunge la nchi hiyo ripoti inayohitajika kuhusu wahanga wa mashambulio hayo.
-
Malengo yanayofuatiliwa na Marekani katika kuzichochea nchi za Kiarabu zikabiliane na Iran
Aug 06, 2026 06:41Hata kama nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi hazitaki kuchochea mivutano katika eneo, kwa mujibu wa sera zao rasmi, lakini Marekani inajaribu kuzivuta katika makabiliano ya moja kwa moja na Iran.
-
Jeshi la Yemen lapiga meli nyingine ya mafuta ya Saudi Arabia katika Bahari Nyekundu
Aug 05, 2026 12:13Jeshi la Yemen limeishambulia meli ya mafuta ya Saudi Arabia katika sehemu ya kaskazini ya Bahari Nyekundu, baada ya meli hiyo kukiuka mzingiro wa baharini uliowekwa dhidi ya Saudi Arabia.
-
Ghaza yafanya maziko makubwa zaidi ya halaiki ya Wapalestina 112 waliouliwa kikatili na Israel
Aug 05, 2026 03:04Wapalestina wamewazika watu 112 wa ukoo mmoja waliouawa katika mashambulizi ya kinyama ya anga yaliyofanywa na jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel mnamo Novemba 2023, baada ya mabaki yao kupatikana kutoka chini ya vifusi mwezi uliopita.
-
Vikosi vya Yemen vyashambulia shabaha muhimu ndani ya Uwanja wa Ndege wa Najran, Saudi Arabia
Aug 05, 2026 02:55Jeshi la Yemen limekishambulia kituo cha kimkakati ndani ya uwanja wa ndege wa Najran kusini mwa Saudi Arabia, ikiwa ni jibu kwa mashambulizi na mzingiro unaoendelea kufanywa na utawala wa Riyadh dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
ElBaradei kwa Netanyahu: Umeiharibu Gaza, sasa unazungumzia "uhuru" wa watu wake!
Aug 05, 2026 02:53Mkurugenzi wa zamani wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) Mohamed ElBaradei, amemhutubu Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu akisema: "Umeiharibu Gaza, na sasa unazungumzia uhuru wa watu wake!"