-
Rais Trump wa Marekani awasili Saudia, alenga kutoka na kitita cha dola trilioni 1
May 13, 2025 08:58Rais wa Marekani, Donald Trump, amewasili mjini Riyadh katika awamu ya kwanza ya ziara yake ya siku nne katika eneo la Asia Magharibi, ambapo analenga kupata hadi dola trilioni moja za uwekezaji kutoka Saudi Arabia.
-
Kukandamizwa watetezi wa Palestina na kuporomoka maadili ya kibinadamu barani Ulaya
May 13, 2025 04:42Uwanja wa Stalingrad wa Paris hivi karibuni ulishuhudia maandamano makubwa ya kuwaunga mkono watu wanaodhulumiwa wa Palestina.
-
Jenerali wa zamani aonya: Israel imegeuka kutoka kuwa mali na kuwa mzigo kwa Marekani
May 13, 2025 02:38Kamanda wa zamani wa jeshi la Israel huko Gaza amesema Israel sasa imegeuza kutoka kuwa mali na kuwa mzigo mzito kwa Marekani.
-
FAO yabainisha hofu kuhusu kukaribia baa la njaa Gaza huku Israel ikiendeleza jinai
May 13, 2025 00:55Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) lilionya Jumatatu kuhusu janga la kibinadamu linalozidi kuongezeka katika Ukanda wa Gaza, likieleza hatari ya njaa inayokaribia, kuporomoka kwa sekta ya kilimo, na kuzuka kwa magonjwa hatari huku utawala dhalimu wa Israel ukiendeleza mzingiro na jinai katika eneo hilo la Wapalestina.
-
Israel yaendeleza ukatili Gaza, yaua shahidi Wapalestina wengine 33
May 12, 2025 08:30Wapalestina wasiopungua 33 wameuawa shahidi katika muda wa saa 24 zilizopita huko Gaza, maafisa wa afya katika eneo hilo lililo chini ya mzingiro wameripoti.
-
Hamas yakubali kumwachilia huru mateka Mmarekani-Muisraeli
May 12, 2025 02:21Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kuwa imekubali kumwachilia huru mateka Mmarekani-Muisraeli anayeshikiliwa huko Ghaza, baada ya kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani kuhusu kusitishwa mapigano katika ukanda wa Ghaza uliozingirwa kila upande na Wazayuni.
-
Wazayuni wahamaki baada ya Trump kukiri Wayemen ni mashujaa
May 12, 2025 02:18Menashe Amir, mkurugenzi wa Redio ya Kizayuni ya Kol Yisrael ameshindwa kuficha hamaki zake kufuatia uamuzi wa hivi karibuni ya Trump na kusema: "Waisraeli wameshtuka kwamba leo Wahouthi nchini Yemen wamekuwa mashujaa!"
-
Mizizi ya ukoloni katika mzozo wa India na Pakistan
May 11, 2025 22:28Mzozo wa India na Pakistan ni moja ya migogoro sugu na ya muda mrefu zaidi katika eneo la Asia Kusini.
-
Jinamizi la kukwama safari za ndege laendelea kuitesa Israel
May 11, 2025 08:46Mashambulizi ya Jeshi la Yemen dhidi ya viwanja vya ndege vya utawala wa Kizayuni hususan Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion wa Tel Aviv yanaendelea kuisababishia jinamizi Israel hususan baada ya Yemen kuapa kuvigeuza Jahannam viwanja hivyo vya utawala wa Kizayuni mpaka ukomeshe jinai zake huko Ghaza.
-
Foreign Affairs: Dola bilioni 2 za Marekani zimeshindwa kuipigisha magoti Yemen
May 11, 2025 08:37Jarida la makala za uchaguzi la Foreign Affairs limesisitiza kuwa licha ya rais wa Marekani, Donald Trump kudai kuwa Ansarullah ya Yemen imesalimu amri, lakini harakati hiyo haijaathiriwa na mashambulizi ya Marekani yaliyoitia hasara ya dola bilioni mbili nchi hiyo, na wanamapambano wa Yemen wanaendelea na mashambulizi yao dhidi ya Israel.