-
Waziri wa mambo ya nje wa Misri kufanya ziara rasmi nchini Uturuki hii leo
Apr 12, 2023 23:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri, Sameh Shoukry, atafanya ziara rasmi leo nchini Uturuki huku uhusiano wa nchi hizo mbili ukiendelea kuboreka.
-
Netanyahu aamuru Mayahudi wasiingie Msikiti wa Al-Aqsa mpaka mwisho wa Ramadhani
Apr 12, 2023 09:18Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ametangaza kuwa kwa ushauri wa maafisa usalama wa Israel, Mayahudi wasiende katika Msikiti wa Al-Aqsa hadi mwisho wa mwezi wa Ramadhani.
-
Azma ya Pakistan ya kuanzisha operesheni dhidi ya makundi ya kigaidi
Apr 11, 2023 22:35Baraza la Usalama wa Taifa la Pakistan chini ya uongozi wa Muhammad Shehbaz Sharif, Waziri Mkuu wa nchi hiyo limepasisha uamuzi wa kuendesha operesheni mpya dhidi ya ugaidi.
-
Kamati za Muqawama Palestina: Siku ya Quds imeelekeza dira ya Umma wa Kiislamu kuelekea Palestina
Apr 11, 2023 08:22Msemaji wa Kamati za Muqawama wa Palestina amesema, "Imam Khomeini (MA) aliweka dira ya kuuelekeza Ulimwengu wa Kiislamu upande wa Palestina kwa kutangaza Siku ya Kimataifa ya Quds, na leo tuko katika zama za ushindi wa muqawama na kuporomoka utawala wa Kizayuni".
-
Mjumbe wa Baraza Kuu la Yemen: Tumejiweka tayari kwa chaguo lolote lile itakaloamua Saudia
Apr 11, 2023 08:21Mjumbe wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema, "tumejiweka tayari kwa machaguo yote; ikiwa muungano wa Saudia utataka suluhu, sisi ni watu wa suluhu na ikiwa wanataka vita pia, sisi tumepata uzoefu wake kwa miaka minane".
-
Kuingiwa na kiwewe Wazayuni kutokana na kukutana viongozi wa Hizbullah na HAMAS
Apr 11, 2023 06:43Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amekutana na kufanya mazungumzo na Ismail Hania, Sheikh Saleh al-Arouri, Mkuu na Naibu wa Ofisi ya Kiisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS kwa utaratibu pamoja na ujumbe uliofuatana nao.
-
Kamati ya Kiislamu-Kikristo ya Al-Quds yasisitiza kuiwajibisha Israel kwa uhalifu wake
Apr 11, 2023 04:03Kamati ya Kiislamu na Kikristo inayounga mkono Quds Tukufu (Jerusalem) na Matukufu yake imetoa wito wa kuuwajibisha utawala wa Kizayuni wa Israel kwa jinai zake dhidi ya Wapalestina.
-
Spika wa Bunge la Iran: Uchokozi wa utawala wa Israel unathibitisha utambulisho wake wa kifashisti na kibaguzi
Apr 10, 2023 23:33Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu, Bunge la Iran, amesema vitendo vya kichokozi vilivyofanywa hivi karibuni na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu vinadhihirisha tabia ya utawala huo wa kifashisti na ubaguzi wa rangi.
-
Kiongozi wa Palestina: Siku ya Quds mwaka huu ni tofauti zaidi na miaka iliyopita
Apr 10, 2023 22:47Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Wananchi wa Palestina ameashiria uungaji mkono mkubwa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa Palestina na kusisitiza kuwa Siku ya Quds mwaka huu ni tofauti zaidi na miaka iliyopita.
-
Algeria yataka kikao cha dharura cha Mabunge ya Kiislamu kujadili hujuma za Israel dhidi ya al-Aqswa
Apr 10, 2023 22:46Spika wa Bunge la Algeria ametoa mwito wa kuitishwa mkutano wa dharura kuhusu Palestina ili kujadili hali ya mambo hasa baada ya hujuma na mashambulio ya hivi karibuni ya utawala haramu wa Israel dhidii ya msikiti wa al-Aqswa.