-
Hamas yaipongeza Oman kwa msimamo wake wa kususiwa utawala wa Kizayuni
Dec 31, 2022 04:02Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesifu na kupongeza msimamo wa Bunge la Oman katika fremu ya kushadidisha kususiwa utawala haramu wa Israel.
-
Qatar yalaani mpango wa Netanyahu wa kupanua vitongozi wa walowezi wa Kizayuni
Dec 31, 2022 04:01Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Qatar imelaani vikali mpango wa Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Israel wa kupanua vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Kuanza kazi baraza la mawaziri la sita la Netanyahu katika mazingira ya mivutano katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu
Dec 30, 2022 22:41Benjamini Netanyahu amepata kura ya kuwa na imani naye kwenye Knesset, bunge la utawala haramu wa Israel, na hivyo kupata fursa nyingine ya kuongoza baraza la mawaziri la utawala huo.
-
Ripoti: Mwaka 2022 umeshuhudia jinai kubwa zaidi katika historia ya Saudi Arabia
Dec 30, 2022 08:14Mwaka huu unaomalizika wa 2022 unaelezwa kuwa, umeshuhudia ukiukaji wa haki za binadamu na jinai kubwa zaidi katika historia ya Saudi Arabia.
-
Saudia imeua raia 3,000 wakiwemo Waafrika katika hujuma huko Sa'ada Yemen mwaka 2022
Dec 30, 2022 04:40Afisa wa afya wa Yemen amesema takriban raia 3,000, wakiwemo wakimbizi wa Kiafrika, wamepoteza maisha au kujeruhiwa vibaya mwaka huu kutokana na mashambulizi ya mizinga na makombora ya vikosi vya jeshi la Saudi Arabia katika mkoa wa kaskazini magharibi wa Sa'ada nchini Yemen.
-
Walowezi wa Kizayuni wavunja rekodi katika hujuma dhidi ya Msikiti wa al-Aqsa
Dec 30, 2022 04:28Shirika la Kiislamu linalosimamia masuala ya Msikiti wa al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) linasema kwamba idadi kubwa ya walowezi wa Kizayuni wa Israel walivamia eneo hilo takatifu la Kiislamu mwaka 2022.
-
Mfalme wa Jordan aonya: Intifadha mpya ya Wapalestina inanukia
Dec 29, 2022 23:05Mfalme wa Jordan ameonya kuhusiana na hatua za utawala haramu za Israel za kushadidisha mivutano na jinai dhidi ya Wapalestina na kueleza kuwa, jinai hizo huenda zikapelekea kuibuka Intifadha mpya ya Wapalestina.
-
Kuweko utumwa mamboleo nchini Saudi Arabia
Dec 29, 2022 09:47Gazeti la Times la Uingereza limeripoti kuwa, utumwa mamboleo ungalipo nchini Saudi Arabia licha ya maonyo ya asasi na jumuiya za kimataifa.
-
Haniya: Wapalestina watashadidisha mapambano dhidi ya ujenzi haramu wa Israel
Dec 29, 2022 09:06Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameionya Israel dhidi ya sera yake ya unyakuzi wa ardhi na kusisitiza kuwa, ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni utakabiliwa kwa nguvu kupitia muqawama.
-
Hamas: Maneva ya al Rakan al Shadid 3 ni dhihirisho la nguvu ya muqawama
Dec 29, 2022 04:39Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kuwa maneva ya al Rakan al Shadid 3 yanayonesha nguvu ya muqawama.