-
Wauguzi wagoma tena nchini Uingereza
Dec 21, 2022 02:53Katika miezi kadhaa iliyopita, Uingereza imeshuhudia migomo mingi ya wafanyakazi wa sekta mbalimbali, ikiwa ni pamoja na sekta ya afya, sekta ya usafiri wa reli na wafanyakazi wa posta wanaolalamikia mishahara duni.
-
Iraq yatilia mkazo kuzuia mashambulizi dhidi ya nchi jirani
Dec 20, 2022 23:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amesema kuwa Baghdad ina jukumu la kuzuia mashambulizi ya baadhi ya magenge yenye silaha kutekeleza hujuma dhidi ya nchi jirani kutokea katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Vita vya kivamizi vya Saudia vimeisababishia Yemen hasara ya dola bilioni 64
Dec 20, 2022 07:04Nchi maskini ya Kiarabu ya Yemen imesababishiwa hasara kubwa sana na madola vamizi yaliyoongozwa na Saudia katika vita vya miaka mingi nchini humo.
-
Kufikia tamati mashindano ya soka ya Kombe la Dunia nchini Qatar na engo zake zisizo za kimichezo
Dec 20, 2022 04:09Pazia la mashindano ya soka ya Kombe la Dunia lilifungwa rasmi siku ya Jumapili kwa timu ya taifa ya soka ya Argentina kutwaa kombe hilo baada ya kumshinda bingwa mtetezi Ufaransa.
-
HAMAS: Jamii ya Kimataifa iachane na sera ya kuuma na kupuliza kuhusu jinai za Israel
Dec 19, 2022 23:05Afisa mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amekosoa sera za kuuma na kupuliza za jamii ya kimataifa kuhusiana na jinai za kila siku zinazofanywa na Wazayuni dhidi ya Msikiti mtukufu wa Al-Aqsa.
-
Kufichuliwa nyaraka mpya za jinai za Israel dhidi ya Wapalestina kwa uungaji mkono wa Marekani
Dec 19, 2022 23:03Gazeti la The Guardian limechapisha nyaraka mpya za jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina, jinai ambazo zimefanyika kwa himaya na uungaji mkono wa Marekani.
-
Ujumbe wa UN wakutana na Ayatullah Sistani, unafuatilia jinai za Daesh
Dec 19, 2022 08:00Ujumbe wa Umoja wa Mataifa leo (Jumatatu) umekutana na kufanya mazungumzo na kiongozi mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, Ayatullah Ali Sistani katika mji mtakatifu wa Najaf al Ashraf.
-
Utawala wa Kizayuni wakiri kufanya ujasusi na kuhusika na miripuko ya 1954 nchini Misri
Dec 19, 2022 04:05Gazeti la Kizayuni la "Yedioth Aharonoth" limechapisha ripoti maalumu ya idara ya ujasusi ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni (Aman) ikikiri kuwa, katika miaka ya 1950 waziri wa vita wa wakati huo wa Israel alihusika katika miripuko ya mabomu iliyotokea nchini Misri.
-
Al-Zahar: Kuachiliwa mateka wa Kipalestina ni moja ya vipaumbele vya Hamas
Dec 18, 2022 23:32Mwanachama mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema, harakati hiyo haitawaacha peke yao mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa kwenye jela za utawala ghasibu wa Israel.
-
Ansarullah: Marekani inakwamisha juhudi za kurejesha amani nchini Yemen
Dec 18, 2022 23:31Kiongozi wa ngazi ya juu wa harakati ya Ansarullah ya Yemen ameishutumu Marekani kuwa inakwamisha juhudi zinazolenga kurejesha amani katika nchi hiyo ya Kiarabu iliyokumbwa na vita.