-
Theluthi moja ya wanajeshi wa kike wa Israel wamebakwa na makamanda wao
Dec 01, 2022 00:31Imeelezwa kuwa mmomonyoko wa kimaadili unazidi kukithiri katika jeshi na vyombo vingine vya usalama huko Israel huku kukiripotiwa kila uchao vitendo vya kubakwa na kunajisiwa wanajeshi na polisi wa kike.
-
Bunge la Kuwait lapinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel
Dec 01, 2022 00:31Wabunge wa Kuwait wamepinga vikali hatua yoyote ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Kanali ya Kizayuni: Israel inakabiliwa na Intifadha mpya ya Wapalestina
Nov 30, 2022 07:15Chombo kimoja cha habari cha Kizayuni kimesema hali ya usalama katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu ni ya 'hatari' na kwamba Tel Aviv inakabiliwa na Intifadha mpya ya Wapalestina.
-
Wazayuni wameshaua shahidi Wapalestina 205 tangu mwanzoni mwa 2022
Nov 30, 2022 03:06Wizara ya Afya ya Palestina imetoa ripoti yake na kusema kuwa, tangu mwanzoni mwa mwaka huu wa 2022 hadi hivi sasa, utawala wa Kizayuni wa Israel umeshaua shahidi Wapalestina 205 katika sehemu mbalimbali za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Ripoti kuhusu jinai za kivita za muungano wa Saudia na Imarati nchini Yemen
Nov 30, 2022 02:21Kituo cha sheria cha Ain al-Insaniyah (Jicho la Ubinadamu) cha Yemen kimetoa takwimu za kushtua kuhusu maafa ya kibinadamu na kiwango cha uharibifu uliosababishwa na mashambulio ya muungano vamizi wa Saudia na Imarati katika nchi hiyo, takwimu ambazo zinaanika wazi wigo wa jinai za kivita zilizofanywa na muungano huo na waungaji mkono wake wa Magharibi na Wazayuni.
-
Wapalestina watatu wakiwemo ndugu wawili wa kiume wauliwa shahidi Ukingo wa Magharibi
Nov 29, 2022 04:25Wapalestina watatu wakiwemo ndugu wawili wa kiume Jawaad na Dhaafar Abdurrahman wameuawa shahidi asubuhi ya leo baada ya kupigwa risasi na askari katili wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika kijiji cha Kafr Ain kaskazini mwa Ramallah, Ukingo wa Magharibi Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Rais wa Algeria: Kuiunga mkono Palestina kusiishie kwenye utoaji taarifa tu
Nov 29, 2022 04:10Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria amesisitiza haja ya kuchukuliwa hatua za kivitendo ili kurejesha haki za Wapalestina.
-
Mzayuni Ben-Gvir asema ataushambulia msikiti wa al Aqsa, HAMAS yamjibu kuwa atashindwa!
Nov 28, 2022 23:58Itamar Ben-Gvir, mzayuni mwenye misimamo ya kufurutu mpaka na kiongozi wa chama cha Nguvu ya Kiyahudi ambaye amependekezwa kuwa waziri wa usalama wa ndani katika baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu, ametangaza kuwa, mnamo siku chache zijazo ataushambulia Msikiti wa Al-Aqsa.
-
Jumuiya 198 za Palestina na za kimataifa zatoa mwito kwa ICC kuchunguza jinai za Israel
Nov 28, 2022 08:06Makumi ya asasi za Palestina na za kimataifa zimeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ifanye uchunguzi kuhusu jinai zinazofanywa na Wazayuni dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Zulia jekundu la Iran chini ya miguu ya Waziri Mkuu wa Iraq
Nov 28, 2022 06:15Mohammad Shia' Sudani, Waziri Mkuu wa Iraq huku akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi wa nchi yake, anatazamiwa kuwasili mjini Tehran hivi karibuni. Hii ni ziara yake ya kwanza nchini Iran baada ya kukabidhiwa rasmi wadhifa wa Waziri Mkuu.