-
Saudia imeua Wayemen 18,000, kuharibu misikiti 1,679 tokea 2015
Nov 28, 2022 03:13Shirika moja la kutetea haki za binadamu limesema watu zaidi ya 18,000 wa Yemen wameuawa tangu kuanza kwa mashambulizi ya muungano vamizi unaoongozwa Saudi Arabia katika nchi hiyo maskini ya Kiarabu mwaka 2015.
-
Bin Salman asherehekea Siku ya Wanawake kwa kutia mbaroni wanaharakati 100 wa kike
Nov 28, 2022 00:12Shirika la Haki za Binadamu la Sanad limesema kuwa, viongozi wa Saudi Arabia wamewatia mbaroni makumi ya wanaharakati wa kike wanaopigania haki za wanawake nchini humo sambamba na maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Ukatili dhidi ya Wanawake.
-
Wazayuni: Katika Kombe la Dunia la Qatar, tumejua ni kiasi gani tunachukiza
Nov 27, 2022 23:02Gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronoth limeashiria matatizo makubwa yanayowakumba waandishi wa habari wa utawala wa Kizayuni katika mashindano ya Kombe la Dunia 2022 yanayoendelea hivi sasa nchini Qatar na kuandika, katika mashindano haya tumeelewa ni kiasi gani hatupendwi na tunachukiza vibaya katika ulimwengu wa Kiarabu.
-
Kombe la Dunia Qatar, fursa kwa watu wa mataifa ya Kiarabu kuonyesha wanavyouchukia utawala wa Kizayuni wa Israel
Nov 27, 2022 22:59Moja ya matukio ya kuvutia katika michuano ya Kombe la Dunia nchini Qatar ni kukataa wananchi wa mataifa mbalimbali ya Kiarabu kuhojiwa na vyombo vya habari vya Israel na vilevile kuiunga mkono Palestina dhidi ya utawala huo wa Kizayuni.
-
Kustawisha uhusiano na kutatua hitilafu na majirani; kipaumbele cha sera za nje za serikali mpya ya Iraq
Nov 26, 2022 08:36Mohammed Shia al Sudani Waziri Mkuu mpya wa Iraq amefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kwa kuzitembelea Jordan na Kuwait.
-
Mchezaji tenisi ya mezani Mlebanon agoma kucheza na Mzayuni; aiunga mkono Palestina
Nov 26, 2022 04:23Nyota chipukizi wa mchezo wa tenisi ya mezani raia wa Lebanon amejiondoa katika mashindano ya Kombe la Dunia ya Tenisi ya Mezani Kwa vijana Chipukizi (WTT) baada ya kupangwa kumenyana na mchezaji kutoka Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu).
-
Walowezi wa Kizayuni wachoma moto magari ya Wapalestina katika mji wa Quds
Nov 25, 2022 23:27Walowezi wa Kizayuni wameendelea kufanya vitendo vyao vya kinyama dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina ambapo wamechoma moto magari kadhaa ya Wapalestina katika mji wa Quds.
-
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yaonuya kuhusiana na jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
Nov 25, 2022 06:34Katibu Mkuuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ameonya kuhusiana na jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina na kueleza kwamba, zitakuwa na matokeo mabaya zaidi.
-
Mzayuni: Tusijidanganye, Waarabu hawaupendi utawala wa Kizayuni
Nov 25, 2022 03:54Vyombo vya habari vya Kizayuni vimetuma timu kadhaa za waandishi na wataalamu wa vyombo vya habari kwenye Kombe la Dunia nchini Qatar; Miongoni mwa waandishi hao ni "Ohad Ben Hamo," mwandishi wa habari wa Israel ambaye anajulikana kuwa ni mtaalamu wa masuala ya Waarabu na Wapalestina.
-
Utawala dhalimu wa Israel umebomoa zaidi ya skuli 50 za Wapalestina katika mwaka huu
Nov 24, 2022 23:22Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na Umoja wa Mataifa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umebomoa zaidi ya skuli 50 za Wapalestina katika mwaka huu wa 2022.