-
Utawala dhalimu wa Israel umebomoa zaidi ya skuli 50 za Wapalestina katika mwaka huu
Nov 24, 2022 23:22Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na Umoja wa Mataifa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umebomoa zaidi ya skuli 50 za Wapalestina katika mwaka huu wa 2022.
-
Onyo kali la Yemen kwa muungano wa Saudia kuhusu kuendelea kuporwa nishati ya nchi hiyo
Nov 24, 2022 23:04Huku uporaji wa mafuta ya Yemen ukiwa unaendelea, Abdul Aziz bin Habtour, Waziri Mkuu wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen ametahadharisha kuwa, iwapo uporaji huo utaendelea, Wayemen watalazimika kuzilenga meli za mafuta za muungano wa Saudia.
-
Mashabiki wa soka waendelea kuiunga mkono Palestina katika Kombe la Dunia
Nov 24, 2022 04:02Mashabiki wa soka wanaoshuhudia fainalii za mashindano ya kandanda ya Kombe la Dunia nchini Qatar wameendelea kuonyesha himaya na uungaji mkono wao kwa taifa la Palestina.
-
Polisi ya utawala wa Kizayuni yatangaza hali ya hatari baada ya miripuko ya al Quds
Nov 23, 2022 22:58Polisi ya utawala wa Kizayuni wa Israel imetangaza hali ya hatari katika ardhi zote zinazokaliwa kwa mabavu ikihofia uwezekano wa wana muqawama wa Palestina kuekeleza tena oparesheni dhidi ya Wazayuni.
-
Al Sudani afanya mazungumzo na mrithi wa kiti cha ufalme wa Kuwait
Nov 23, 2022 22:54Waziri Mkuu wa Iraq amekutana na kufanya mazungumzo na mrithi wa kiti cha ufalme wa Kuwait na kusisitiza juu ya ulazima wa kuimarisha uhusiano kati ya nchi mbili.
-
Makundi ya Palestina: Operesheni ya Quds ni pigo kwa muundo wa usalama wa Israel
Nov 23, 2022 08:33Makundi mbalimbali ya Palestina yamesema kuwa, operesheni za kishujaa iliyofanywa dhidi ya utawala wa Kizayuni katika mji wa Baytul Muqaddas ni fakhari kwa taifa la Palestina, ni katika kujibu jinai za Wazayuni na ni kufeli muundo wa kiusalama wa Israel kukabiliana na wanamapambano wa Palestina.
-
Yemen: Zaidi ya watoto elfu 4 wa Yemen wameuawa katika mashambulizi ya muungano wa Saudia
Nov 23, 2022 04:33Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen imetangaza kuwa zaidi ya watoto elfu 4 wa Yemen wameuawa tangu kuanza kwa mashambulizi ya muungano vamizi unaoongozwa Saudi Arabia.
-
Umoja wa Mataifa wakosoa vikali hukumu za kukatwa watu vichwa Saudi Arabia
Nov 22, 2022 23:09Mmoja wa wasemaji wanaohusika na haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa ameelezea masikitiko yake kuhusu utekelezwaji wa hukumu za vifo kwa kukata watu vichwa nchini Saudi Arabia.
-
Shtayyeh: Serikali mpya ya Israel inajiandaa kutangaza vita dhidi ya Wapalestina
Nov 22, 2022 08:01Waziri Mkuu wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema, serikali mpya ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel chini ya uongozi wa wanasiasa wa mrengo wa kulia wenye misimamo ya kufurutu ada inajiandaa kutangaza vita dhidi ya Wapalestina.
-
Bunge la Waarabu lalaani hatua ya Uturuki ya kuwakatia maji raia milioni moja wa Syria
Nov 22, 2022 07:55Muungano wa Mabunge ya Nchi za Kiarabu umelaani hatua ya Uturuki ya kuwakatia maji raia zaidi ya milioni moja wa Syria katika mkoa wa al-Hasakah.