-
Syria: Tunataka uanzishwe mfumo mpya wa kimataifa, jinai za Israel zidhibitiwe
Oct 26, 2022 09:16Kwa mnasaba wa Siku ya Umoja wa Mataifa, Serikali ya Syria imetoa wito na kusisitiza ulazima wa kuundwa mfumo mpya wa kimataifa na kuzuiwa uchokozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel na jinai zinazofanywa na utawala huo haramu.
-
Iran: Uungaji mkono wa Magharibi kwa Israel ni mfano mkubwa zaidi wa ukiukaji wa haki za binadamu
Oct 26, 2022 03:41Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amelaani shambulio la utawala ghasibu wa Israel katika mji wa Nablus katika Ukingo wa Magharibi huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu, na kuutaja uungaji mkono usio na kikomo wa Marekani na nchi nyingine za Magharibi kwa utawala dhalimu wa Israel kuwa ni kielelezo kikubwa zaidi cha ukiukwaji wa haki za binadamu.
-
Askari wa Israel awasihi vijana Wapalestina Al-Khalil: 'Basi tena, tutaabani'
Oct 25, 2022 23:03Mitandao ya kijamii imesambaza video inayomuonyesha askari mmoja wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel akiwasihi vijana Wapalestina katika eneo la Al-Khalil, Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan wahitimishe muqawama na mapambano dhidi yake yeye na wanajeshi wenzake.
-
Wapalestina 5 wauawa shahidi na jeshi katili la Israel Ukingo wa Magharibi
Oct 25, 2022 07:49Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameshambulia makazi ya Wapalestina katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu, na kuua shahidi Wapalestina watano.
-
Hizbullah: Saudia na Marekani zinakwamisha uchaguzi wa Rais wa Lebanon
Oct 25, 2022 07:29Afisa mwandamizi wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema balozi za Saudi Arabia na Marekani jijini Beirut zimekula njama na kuweka vizingiti vya kila aina ili kukwamisha uchaguzi wa rais, huku ikiwa imesalia wiki moja tu kabla ya kumalizika muhula wa Rais Michel Aoun wa nchi hiyo.
-
Yemen yalaani ugaidi wa kiserikali wa utawala wa Israel
Oct 25, 2022 04:08Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Yemen amelaani ugaidi wa kiserikali unavyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya taifa lisilo na ulinzi la Palestina.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq: Ulaya haiko tayari kuwarejesha raia wake wanachama wa Daesh walioko Syria
Oct 25, 2022 04:03Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iraq amesema kuwa nchi za Ulaya haziko tayari kuwarejesha nyumbani raia wa nchi hizo wanachama wa kundi la Daesh.
-
Netanyahu: Kama si msaada wa Saudia tusingeweza kupatana na Waarabu
Oct 24, 2022 23:42Waziri Mkuu wa zamani wa utawala haramu wa Israel amesema kuwa, kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya Israel na baadhi ya nchi za Kiarabu kumefanikiwa kwa mwafaka na baraka za Saudi Arabia.
-
OIC: Russia ni mshirika wetu muhimu sana
Oct 24, 2022 22:53Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ameitaja Russia kuwa ni mshirika muhimu sana wa nchi wanachama wa jumuiya hiyo.
-
HAMAS: Utawala wa Kizayuni umeshindwa kukabiliana na muqawama Ukingo wa Magharibi
Oct 24, 2022 09:07Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, jinai za utawala wa Kizayuni za kuwaua kigaidi wanamapambano wa Palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan hazitapunguza kasi ya kuimarika muqawama wa wananchi wa Palestina.