-
Msimamo imara wa muqawama wa Lebanon wawapigisha magoti Wazayuni
Oct 13, 2022 23:07Baada ya Baraza la Mawaziri la utawala wa Kizayuni wa Israel kukubaliana na mpango wa kuchorwa mipaka ya baharini baina ya Lebanon na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni, gazeti la Kizayuni la Haaretz limeandika makala chini ya kichwa cha maneno: "Ushindi wa Hizbullah katika Mapatano."
-
Kukosoa asasi za haki za binadamu ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu nchini Saudi Arabia
Oct 13, 2022 23:04Asasi moja ya haki za binadamu imetoa ripoti ya kutisha inayoeleza hali mbaya ya haki za binadamu nchini Saudi Arabia na matukio kadhaa ya vitendo vya mateso ya kimwili na kiroho dhidi ya wanaharakati na wapinzani wakiwemo wale waliohukumiwa kunyongwa.
-
Makundi ya Palestina yaandaa hati ya maridhiano katika mkutano wao wa Algeria
Oct 13, 2022 04:36Makundi ya Wapalestina yameandaa hati ya maridhiano mwishoni mwa mkutano wao wa siku mbili uliofanyika nchini Algeria.
-
Sayyid Hassan Nasrullah: Muqawama ndio njia pekee ya kuikomboa Palestina
Oct 12, 2022 23:04Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, umoja wa Kiislamu katika fremu ya muqawama ndio njia pekee ya kukata mikono ya maadui, kuikomboa Palestina na Quds Tukufu na kurejesha adhama na ustahifu wa risala ya Bwana Mtume (saw).
-
Takwimu za kutisha kuhusu hukumu za kunyonga watu nchini Saudia
Oct 12, 2022 08:31Takwimu zilizotolewa na mashirika mbalimbali ya kutetea haki za binadamu zinaonyesha kuwa Saudi Arabia imewanyonga watu 1,100 katika kipindi cha miaka kumi iliyopita.
-
Amnesty yaitaka Saudi Arabia kusitisha hukumu ya kifo dhidi ya vijana watatu
Oct 12, 2022 04:46Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka serikali ya Saudi Arabia kusitisha utekelezaji wa hukumu ya kifo dhidi ya vijana watatu wa nchi hiyo.
-
Ripoti: Kuna ukiukaji wa kushangaza wa haki za binadamu nchini Saudi Arabia
Oct 11, 2022 23:04Shirika moja la kimataifa la kutetea haki za binadamu limeonya kuhusu hali mbaya ya haki za binadamu katika utawala wa kifalme wa Saudi Arabia na aina za ukatili za mateso ya kimwili na kiakili ambayo ufalme huo hutumia dhidi ya wapinzani wa kisiasa waliofungwa na wanaharakati wanaounga mkono demokrasia.
-
Mazungumzo muhimu ya maridhiano ya kitaifa ya Wapalestina kuanza leo nchini Algeria
Oct 11, 2022 04:07Wajumbe wanaoziwakilisha harakati za muqawama za Palestina za Hamas na Jihadul-Islami wamewasili Algiers mji mkuu wa Algeria kwa lengo la kushiriki mazungumzo muhimu ya maridhiano ya kitaifa ya Wapalestina.
-
Jihad al Islami: Tutaendelea kuwa dira ya mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni
Oct 10, 2022 03:58Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina jana iliendelea na maadhimisho yake ya mwaka wa 35 wa kuasisiwa kwake ikisisitiza kuwa itendelea kuwa dira ya mapambano ya jihadi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Maulamaa wa Gaza waandamana tena kulaani hujuma za Wazayuni dhidi ya msikiti wa al-Aqswa
Oct 09, 2022 10:56Maulamaa na makhatibu wa misikiti huko Gaza Palestina inayokaliwa kwa mabavu wameandamana na kulaani hujuma na uvamizi mtawalia wa Wazayuni dhidi ya msikiti mtakatifu wa al-Aqswa kibla cha kwanza cha Waislamu