-
Kukiri Waziri Mkuu wa UK kwamba yeye ni Zayuni "la kutupwa"
Oct 06, 2022 23:06Liz Truss ambaye ni karibu mwezi mmoja tu nyuma ameanza kazi ya uwaziri mkuu wa Uingereza, amejitokeza hadharani na kutangaza kuwa yeye ni Zayuni "la kutupwa" yaani Mzayuni mkubwa sana na amesema atahakikisha uhusiano wa London na Wazayuni utaimarika mno wakati wa uongozi wake.
-
Yemen: Hakutakuwa na usitishaji vita hadi haki za watu wa Yemen zipatikane
Oct 06, 2022 23:04Waziri Mkuu wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen ameutaja muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia na Umoja wa Mataifa kuwa zinahusika katika kufeli kwa usitishaji vita huko Yemen.
-
Bahrain yajiondoa kwenye uchaguzi wa taasisi ya UN kufuatia ukosoaji
Oct 05, 2022 23:50Bahrain imelazimika kujiondoa kwenye uchaguzi ujao wa kuwasaka wanachama wapya wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), kufuatia jitihada na lalama za asasi za kutetea haki za binadamu juu ya rekodi nyeusi ya serikali ya Manama.
-
Makumi wauawa katika mripuko mwingine wa bomu msikitini Kabul
Oct 05, 2022 23:33Makumi ya watu wamepoteza maisha katika shambulio la bomu lililolenga msikiti mmoja huko Kabul, mji mkuu wa Afghanistan, kwenye ua wa Wizara ya Mambo ya Nje ya serikali ya Taliban.
-
Sababu na matokeo ya kushindwa kwa usitishaji vita nchini Yemen
Oct 05, 2022 22:55Mazungumzo ya kurefusha usitishaji vita kwa mara ya tatu nchini Yemen yameshindwa kufikia mwafaka.
-
Hamas yamkosoa Waziri Mkuu wa Uingereza aliyesema yeye ni "Mzayuni mkubwa"
Oct 05, 2022 09:49Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imemkosoa Waziri Mkuu wa Uingereza Liz Truss kwa kujiita "Mzayuni mkubwa" anayetaka kuimarisha uhusiano wa London na Tel Aviv, ikisema matamshi hayo yanalingana na Azimio la Balfour la Uingereza la 1917, ambalo liliweka msingi wa kuundwa utawala bandia wa Israel na kukoloniwa Palestina.
-
Hamas: Kucheza muziki ndani ya Msikiti wa Nabii Ibrahim ni uchochezi dhidi ya Waislamu
Oct 04, 2022 23:32Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetangaza kuwa, sherehe ya kucheza ngoma na muziki ya walowezi wa Kizayuni ndani ya Msikiti wa Nabii Ibrahim mjini al Khalil (Hebron) ni jinai ya Kizayuni na kitendo hatari kinachochochea moja kwa moja hisia za Waislamu.
-
Jumblatt na Netanyahu: Israel imesalimu amri kwa Hizbullah ya Lebanon
Oct 04, 2022 08:01Kiongozi wa Chama cha Maendeleo cha Kisoshalisti cha Wadruzi wa Lebanon amesema, utawala wa Kizayuni wa Israel umesalimu amri kwa nguvu za Hizbullah katika kadhia ya uchoraji mipaka ya baharini.
-
Sheikh Isa Qassem: Utawala wa Aal Khalifa unataka kuwafanya Wabahrain watumwa
Oct 04, 2022 07:25Ayatullah Sheikh Isa Qassem, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu Bahrain amesema, utawala wa kifalme wa Aal Khalifa unataka kuwafanya watu wa nchi hiyo watumwa.
-
Lebanon na Israel zakaribia kufikia makubaliano ya kuweka mipaka ya baharini
Oct 04, 2022 02:49Taarifa zinaonyesha kuwa rasimu ya mwisho iliyopokelewa kutoka upande wa Marekani kuhusu kuainisha mipaka ya bahari ya Lebanon na utawala wa Kizayuni wa Israel itapelekea kupunguzwa tofauti kati ya pande hizo mbili.