-
Shirika la Kimataifa la Kupambana na Mateso: Saudi Arabia ndio sababu ya ukame na njaa inayowakabili Wayamen
Sep 24, 2022 09:38Shirika la Kimataifa la Kupambana na Mateso limesema katika ripoti yake kwamba, muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia ndio chimbuko la ukame na njaa inayowakabili wananchi wa Yemen kutokana na kuiziingira nchi nchi hiyo.
-
Kiongozi wa HAMAS aiomba tena Saudia iwaachie huru Wapalestina iliowaweka gerezani
Sep 24, 2022 09:05Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ametaka Wapalestina wanaoshikiliwa kwenye jela za Saudi Arabia waachiliwe huru.
-
Mamia ya Walowezi wa Kizayuni wavamia kibla cha kwanza cha Waislamu
Sep 23, 2022 23:25Mamia ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.
-
Wazayuni 8 wajeruhiwa katika oparesheni ya kujitolea kufa shahidi ya Wapalestina mjini Ramallah
Sep 23, 2022 04:21Vyombo vya habari vya Kiarabu jana usiku vilitangaza habari ya kutekelezwa oparesheni ya kufa shahidi dhidi ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni huko Ramallah.
-
Hamas: Kuhamishiwa Quds ubalozi wa Uingereza hakubadili ukweli wa mambo
Sep 22, 2022 23:13Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameashiria hatua ya Uingereza eti ya kutangaza nia yake ya kuuhamishia ubalozi wake huko Quds na kueleza kuwa: hatua hiyo haibadili kivyovyote uhakika wa kihistoria.
-
Wapalestina wapinga mitaala inayolazimishwa na Israel katika shule za Al-Quds
Sep 20, 2022 21:59Sheikh Mkuu wa Palestina Sheikh Ekrima Sabri amesema anaunga mkono maandamano ya al-Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu ambayo yameitishwa kupinga mitaala ya elimu ambayo inalazimishwa na utawala haramu wa Israel katika shule za Wapalestina.
-
Malalamiko ya Wapalestina dhidi ya kuyahudisha mfumo wa elimu wa Quds
Sep 20, 2022 21:42Skuli za Palestina katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu zimeanzisha mgomo jumuishi kwa ajili ya kulalamikia sera za elimu za utawala ghasibu wa Israel pamoja na mpango mchafu wa utawala huo wa kuziyahudisha shule za Kipalestina.
-
Utawala wa Kizayuni wa Israel watiwa kiwewe na droni za Iran
Sep 20, 2022 06:05Chombo kimoja cha habari cha utawala wa Kizayuni kimeelezea kuingiwa na hfu kubwa kutokana na kuimarika teknolojia ya ndege zisizo na rubani (droni) za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika miaka ya hivi karibuni na kugeuka teknolojia hiyo kuwa sehemu muhimu katika mkakati wa kujihami taifa hili la Kiislamu.
-
Mwakilishi wa Wazayuni akiri: Wapalestina wana haki ya kujilinda
Sep 20, 2022 03:27Mwakilishi wa Bunge la utawala wa Kizayuni (Knesset) amekiri kuwa Wapalestina wanaowafyatulia risasi wanajeshi wa utawala huo si magaidi, na kwamba wana haki ya kujilinda kwa mujibu wa sheria za Umoja wa Mataifa.
-
Mamluki wa Imarati wazidisha utekaji nyara Yemen
Sep 20, 2022 03:20Vitendo vya utekaji nyara vinavyofanywa na wanamgambo mamluki wa Muungano wa Falme za Kiarabu huko Yemen vimeongezeka.