-
Nusu ya wananchi wa Saudia wanalalamikia ugumu wa maisha
Aug 28, 2022 05:57Uchunguzi wa hivi karibuni kabisa wa maoni unaonesha kuwa, nusu ya wananchi wa Saudia Arabia wanalalamikia ugumu wa maisha na kupanda vibaya kwa bei za bidhaa.
-
Muungano vamizi wa Saudia wazuia meli ya nne iliyobeba shehena ya mafuta ya Yemen
Aug 28, 2022 03:35Shirika la mafuta la Yemen limetangaza kuwa, muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umeizuia meli ya nne iliyobeba shehena ya mafuta ya nchi hiyo.
-
Takwimu mpya za kutisha zatolewa kuhusu jinai za Saudia nchini Yemen
Aug 27, 2022 20:51Wizara ya Afya ya Yemen imetangaza takwimu mpya za hasara roho na mali za watu zilizosababishwa na jinai za miaka minane ya vita vya kivamizi vya muungano wa nchi za Kiarabu wakiongozwa na Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).
-
Kuendelea mkwamo wa kisiasa nchini Lebanon
Aug 27, 2022 20:51Licha ya kupita zaidi ya miezi miwili tangu kuteuliwa Najib Mikati kuwa Waziri Mkuu wa Lebanon, lakini hadi sasa nchi hiyo ingali inakabiliwa na mkwamo wa kisiasa hususan kuhusiana na uundwaji wa serikali.
-
Palestina yataka uanachama kamili wa Umoja wa Mataifa lakini Marekani inapinga
Aug 27, 2022 03:24Mamlaka ya Ndani ya Palestina imeanzisha tena msukumo wake wa kutaka uanachama kamili katika Umoja wa Mataifa (UN) huku Marekani ikiendeleza njama zake za muda mrefu za kupinga hatua hiyo.
-
Mashambulizi haramu ya Marekani nchini Syria, nembo ya ubeberu wa Washington
Aug 26, 2022 22:54John Kriby, mratibu wa mahusiano ya kiistratijia ya baraza la usalama wa taifa la ikulu ya Marekani, White House amejaribu kuhalalalisha mashambulio haramu ya nchi yake huko Syria na kudai kuwa, eti Washington haina nia ya kuzidisha machafuko katika eneo hili.
-
Rais wa Syria asisitiza ulazima wa kupambana na misingi ya kifikra ya ugaidi
Aug 26, 2022 22:52Rais Bashar al Assad wa Syria amesisitiza ulazima wa kupambana na misingi ya kifikra ya ugaidi na akaeleza kwamba, kupambana na ugaidi hakutawezekana kwa kutumia nguvu za kijeshi pekee, kwa sababu idiolojia ya mitazamo ya kufurutu ada haitambui mipaka bali inajipanua na kuenea kwa kasi kutoka nchi moja hadi nyingine.
-
Ziyad al-Nakhala: Katu hatutasalimu amri; adui anataka kutufanya watumwa
Aug 26, 2022 05:22Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesisitiza kuwa, katu wananchi wa Palestina hawatasalimu amri mbele ya adui Mzayuni na kwamba, bendera ya Palestina itaendelea kupepea.
-
Watu 180 waaga dunia kutokana na mafuriko nchini Afghanistan
Aug 26, 2022 02:46Watu wasiopungua 180 wamefariki dunia nchini Afghanistan kutokana na mafuriko na matukio yanayohusiana na mvua kali zilizonyesha hivi karibuni.
-
HAMAS: Jinai za Wazayuni haziwezi kusimamisha muqawama katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
Aug 25, 2022 21:57Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesisitiza kuwa, kujeruhiwa askari wa utawala dhalimu wa Israel katika mapigano katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan ni ishara ya wazi ya sisitizo la vijana wa Kipalestina juu ya kupambana na uvamizi wa utawala ghasibu wa Israel