-
White House yakataa kuzungumza na Israel kuhusu JCPOA
Aug 25, 2022 07:37Ikulu ya White House ya Marekani imeripotiwa kulipiga na chini ombi la Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel la kufanya mazungumzo ya simu 'ya dharura' na Rais Joe Biden, kuhusu mazungumzo yaliyko katika hatua za mwisho ya kujaribu kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Wazayuni wana kiwewe cha mashambulio ya Hizbullah ya Lebanon
Aug 24, 2022 23:11Duru moja ya Kizayuni imethibitisha taarifa kuwa jeshi la Israel lina kiwewe cha kuingia vitani tena na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon na kusisitiza kuwa, utawala huo unavichukulia kwa uzito mkubwa vitisho vya Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sayyid Hassan Nasrullah.
-
Waziri Mkuu wa Israel ajaribu kukwamisha kufufuliwa JCPOA
Aug 24, 2022 06:20Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel ameingiwa na kiwewe kutokana na uwezekano mkubwa wa kufikiwa makubaliano ya kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA ndani ya siku chache zijazo.
-
HAMAS yasisitizia msimamo wake wa kupinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Wazayuni
Aug 24, 2022 03:32Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS kwa mara nyingine tena imesisitiza kwamba, inapinga kuanzishwa uhusiano wa aina yoyote na utawala haramu wa Israel.
-
Kuanza mgomo wa kula chakula wa wafungwa wa Kipalestina
Aug 23, 2022 23:48Jumatatu ya juzi tarehe 22 Agosti, mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika jela za kuogofya za utawala wa Kizayuni wa Israel walianzisha mgomo usio na kikomo wa kula chakula wakilalamikia hatua za kidhalimu na maafisa wa utawala huo katika magereza.
-
Wanajeshi wa Israel waendeleza jinai katika maeneo tofauti ya Palestina
Aug 23, 2022 06:00Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wanaendelea na jinai zao dhidi ya Wapaelstina katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Jeshi la Syria lauzuia msafara wa magari sita ya kijeshi wa askari wa Marekani
Aug 23, 2022 03:23Vikosi vya jeshi la Syria vimeuzuia msafara wa askari wa jeshi la Marekani kuvuka eneo la kaskazini mashariki ya nchi hiyo.
-
Nasrullah: Ushindi wa mwaka 2000 wa Muqawama ulitamatisha mradi wa "Israel Kubwa"
Aug 22, 2022 22:51Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, ushindi wa mwaka 2000 wa Muqawama ulihitimisha mradi wa "Israel Kubwa."
-
HAMAS: Jukumu la kambi ya muqawama ni kuifuta Israel katika uso wa dunia
Aug 22, 2022 20:55Kiongozi mmoja mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, jukumu kuu la kambi ya muqawama ni kuhakikisha ardhi zote za Palestina zinakombolewa na hiyo maana yake ni kufutwa katika uso wa dunia, utawala pandikizi wa Kizayuni ambao unazikalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Wafungwa wa Palestina waanza mgomo wa kula
Aug 22, 2022 06:37Mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika jela za kuogofya za utawala wa Kizayuni wa Israel wameanzisha mgomo usio na kikomo wa kula chakula.