-
Palestina yaongeza kasi ya kampeni ya kupigania uanachama wa kudumu wa Umoja wa Mataifa
Aug 04, 2022 06:20Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ya kuomba Palestina kupatiwa uanachama kamili wa umoja huo.
-
Syria yataka mpango wa nyuklia wa Israel uwe chini ya usimamizi wa IAEA
Aug 04, 2022 06:19Mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesisitizia ulazima wa vituo vya nyuklia vya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kuwa chini ya ukaguzi na usimamizi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA.
-
Muqtada Sadr ataka kuvunjwa bunge la Iraq na kuitishwa uchaguzi mpya
Aug 04, 2022 02:41Mkuu wa mrengo wa Sadr nchini Iraq ametaka kuvunjwa bunge la nchi hiyo na kutishwa uchaguzi mwingine wa haraka na wa kabla ya wakati wake.
-
Wazayuni wavamia msikiti wa al Aqsa na kuwatia nguvuni Wapalestina 12
Aug 03, 2022 22:04Jeshi la utawala haramu wa Israel limewatia nguvu Wapalestina 12 sambamba na kundi la walowezi wa Kizayuni kuuhujumu msikiti mtukufu wa al Aqsa, ambacho ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu.
-
Hivi ndivyo Asia Magharibi ilivyotia kasi kuporomoka nguvu na ushawishi wa Marekani
Aug 03, 2022 21:52Ni jambo lisilo na chembe ya shaka kwamba, Asia Magharibi ni eneo la ushawishi wa jadi wa Marekani. Nchi hiyo ya kibeberu imejiimarisha mno kijeshi kenye eneo hili na ina ushawishi katika matukio ya kiusalama ya nchi waitifaki wake za Asia Magharibi.
-
Sayyid Nasrullah: Marekani na Israel ni mashetani wa zama hizi
Aug 03, 2022 03:32Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel ni mashetani wa zama hizi na kuongeza kuwa: Mapambano ya harakati hiyo dhidi ya mashetani yataendelea.
-
Maripota wa UN: Israel ikome kuwanyanyasa watetezi wa haki za binadamu
Aug 03, 2022 03:30Maripota wa Umoja wa Mataifa wameitaka Israel ikomeshe "unyanyasaji" wa wafanyakazi wa misaada na watetezi wa haki za binadamu katika eneo la "Masafer Yatta" katika Ukingo wa Magharibi.
-
Amnesty International: Wazayuni walio wengi wanaiogopa bendera ya Palestina
Aug 03, 2022 01:48Matokeo ya uchunguzi wa maoni wa Amnesty International yanaonyesha kuwa, Wazayuni walio wengi wanaoishi katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina wanapatwa na woga na wahka kwa kuiona bendera ya Palestina.
-
Diplomasia ya mitaani badala ya ustaarabu wa kisiasa; kurudi nyuma demokrasia ya Iraq
Aug 02, 2022 22:07Katika siku za hivi karibuni, Iraq kwa mara nyingine tena imeshuhudia matukio ambayo yanachukuliwa na baadhi ya makundi kuwa ni utekelezaji wa "diplomasia ya mitaani" badala ya "ustaarabu wa kisiasa."
-
Kuwait: Tutaendelea kuisusia Israeli na makampuni yanayoshirikiana nayo
Aug 01, 2022 20:41Kuwait imetangaza kuwa itaendelea kuisusia Israel, bidhaa zake na makampuni yanayoshirikiana nayo. Hayo yametangazwa katika Mkutano wa Maafisa wa Ofisi za Kikanda za Kuisusia Israel.