-
Iraq: Kambi ya Marekani inayowahifadhi magaidi mashariki mwa Syria inapaswa kuvunjwa
Apr 10, 2022 06:38Afisa wa ngazi ya juu wa usalama wa Iraq ametoa wito wa kuvunjwa kambi ya wakimbizi inayodhibitiwa na wanamgambo wa Kikurdi wanaoungwa mkono na Marekani karibu na mpaka wa Iraq nchini Syria, akisema kambi hiyo inayohifadhi maelfu ya magaidi wa Daesh ni tishio halisi kwa nchi yake.
-
Utawala wa Kizayuni; sababu kuu ya machafuko katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu
Apr 10, 2022 03:21Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameutaja utawala wa Kizayuni kuwa chanzo cha machafuko yote yanayoendelea katika ardhi za Wapalestina unazozikaliwa kwa mabavu.
-
Marekani yafanya mazoezi ya kijeshi Syria kinyume cha sheria
Apr 10, 2022 03:16Askari wa Jeshi la Marekani wamefanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi na kundi la wanamgambo wanaojulikana kama Kurdish-Arab Syrian Democratic Forces (SDF) katika kisima cha mafuta cha Al-Omar katika eneo la Deir Ez-Zor katika ardhi ya Syria.
-
Saudia yaruhusu Waislamu milioni moja kutekeleza Ibada ya Hija mwaka huu
Apr 10, 2022 02:53Utawala wa Saudia umetangaza Jumamosi kwamba nchi hiyo itawaruhusu Waislamu milioni moja kushiriki katika ibada inayokuja ya Hija.
-
Iran yatafakari kuwapokea wageni wa Kombe la Dunia la Qatar
Apr 10, 2022 02:47Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imewasilisha pendekezo la kuwaruhusu raia wa kigeni watakaofika Qatar kama watazamaji wa Kombe la Dunia la FIFA 2022 kuingia Iran bila kulipia visa.
-
Uungaji mkono wa Uturuki kwa utawala wa Kizayuni
Apr 09, 2022 23:47Matukiko yanayoshuhudiwa sasa huko Uturuki kufuatia nchi hiyo kuingilia kijeshi baadhi ya nchi jirani na kujaribu kuyakalia kwa mabavu baadhi ya maeneo ya Syria na Iraq; matatizo ya nchi hiyo katika sekta za kiuchumi, kisiasa na kijeshi hivi sasa yameongezeka pakubwa tangu mwaka 2018.
-
Iran yasema Wapalestina wana haki ya kupambana na Israel
Apr 09, 2022 23:46Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema Wapalestina wana haki ya kisheria na iliyo wazi ya kupambana na utawala wa Kizayuni wa Israel unaokalia ardhi zao kwa mabavu.
-
Oparesheni ya tano ya kujitolea kufa shahidi huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu
Apr 09, 2022 06:15Wazayuni 2 wameangamizwa na 16 wengine wamejeruhiwa katika oparesheni ya tano ya kujitolea kufa shahidi iliyotekelezwa na kijana wa Kipalestina huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
HAMAS yalaani kitendo cha Uturuki na Bahrain cha kuunga mkono utawala wa Kizayuni
Apr 09, 2022 02:37Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amelaani kitendo cha Uturuki na Bahrain cha kulaani operesheni ya kishujaa ya mwanamapambano mmoja wa Palestina huko Tel Aviv.
-
Hizbullah ya Lebanon: Operesheni ya kijana wa Kipalestina Tel Aviv imedhihirisha udhaifu wa utawala wa Kizayuni
Apr 08, 2022 22:03Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah imesema kuwa, operesheni ya kujitolea kufa shahidi iliyofanywa na kijana mmoja Mpalestina katikati ya Tel Aviv imedhihirisha udhaifu wa utawala wa Kizayuni na kufeli vyombo vya usalama vya utawala huo pandikizi.