Fanya ajali zako kokote, lakini usifanye ajali na polisi
Jun 25, 2016 06:44 UTC
Ajali ya pikipiki na gari la polisi. Nani mkosa, polisi ambaye ameondoa gari bila ya kuangalia nyuma au mwendesha pikipiki ambaye ameendesha bila ya tahadhari na kwa kasi kubwa katika sehemu penye msongamano wa magari?