-
Katibu Mkuu wa UN: Umiminikaji wa silaha na wapiganaji nchini Sudan unatia wasiwasi
Apr 16, 2025 11:30Wakati vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan vinatimiza miaka miwili na kuanza mwaka wa tatu, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amesema, anatiwa wasiwasi na namna silaha na wapiganaji wanavyoendelea kumiminika nchini humo.
-
White House: Trump angali anataka Canada iwe jimbo la 51 la Marekani
Apr 16, 2025 11:30Msemaji wa Ikulu ya White House ametangaza kuwa Rais wa Marekani angali ana nia ya kuiunganisha Canada na ardhi ya nchi hiyo na kuigeuza kuwa jimbo la 51 la Marekani.
-
Afisa wa ngazi ya juu wa EU: Mfumo wa dunia unasambaratika
Apr 16, 2025 07:52Mkuu wa Kamisheni ya Ulaya amesema kuwa EU inapasa kuwa na mchango athirifu katika kuasisi mfumo mpya wa dunia huku ikiimarisha uwezo wake wa kijeshi na kiuchumi.
-
Trump akutana na maafisa wa sera za nje na usalama kuhusu mazungumzo na Iran
Apr 16, 2025 07:41Chombo kimoja cha habari cha Marekani kimeripoti kuwa Rais wa nchi hiyo, Donald Trump ameitisha mkutano kuhusu mazungumzo yanayoendelea kuhusu makubaliano ya nyuklia na Iran.
-
Ni marufuku wenye paspoti za Israel kuingia Maldives kutokana na jinai za Wazayuni Ghaza
Apr 16, 2025 02:20Maldives haitawaruhusu tena watu wenye pasi za kusafiria za utawala wa Kizayuni wa Israel kuingia nchini humo.
-
Iran yasisitiza kuhusu kulindwa misingi ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa
Apr 16, 2025 02:19Katika mkutano wa ngazi ya juu wa Kundi la Marafiki wa Kulinda Mkataba wa Umoja wa Mataifa uliofanyika Moscow, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisheria na kimataifa, Kazem Gharibabadi, amesisitiza umuhimu wa kufufua mfumo wa kimataifa wa pande nyingi (multilateralism) na kulinda misingi ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa.
-
Russia: Hatukimbizani na yeyote ili kupata ahueni ya vikwazo
Apr 15, 2025 07:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov amesema katika hali ambayo biashara kati ya nchi hiyo na Marekani imeshuhudia mdororo mkubwa kutokana na "vikwazo haramu vya Washington," lakini Moscow "haikimbizani na mtu yeyote" kwa ajili ya kuondolewa vizuizi hivyo.
-
Gazeti la US Today: Uchumi wa Marekani umekwama au unakaribia kwenye mdororo
Apr 15, 2025 03:14Gazeti la US Today la Marekani limeandika kuwa utabiri unaonyesha kuwa ukuaji uchumi wa Marekani utakabiliwa na mkwamo au unakaribia kudorora licha ya kusimamishwa kwa ushuru wa Trump.
-
Mtaalamu: Mabadiliko ya tabianchi yanaweza kudhoofisha uchumi wa dunia katika siku zijazo
Apr 15, 2025 02:26Erhan Aslanoglu, Profesa katika Chuo Kikuu cha Bilgi mjini Istanbul, Uturuki ameeleza kuwa mabadiliko ya tabianchi yatababisha kuzorota kwa uchumi wa dunia katika siku zijazo, kuathiri uzalishaji n.k.
-
Trump au mkoloni muflisi? Ukosoaji mkali wa mchumi wa Ufaransa dhidi ya sera za Marekani
Apr 15, 2025 02:22Gazeti la Ufaransa la "Le Monde" limekosoa sera za serikali ya Marekani katika kuamiliana na nchi nyingine na kuandika: "Mgogoro uliopo si wa kiuchumi tu, bali pia ni mgogoro wa uhalali na utendaji wa kisiasa, unaotokana na uozo wa muundo wa madaraka nchini Marekani."