-
Imekuwaje Muungano wa Nchi za Magharibi na Marekani Sasa Unaelekea Kutoweka?
Apr 24, 2026 06:22Jarida la Foreign Policy la nchini Marekani limetahadharisha kuwa, vita vya kichokozi vilivyoanzishwa na Marekani na utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya Iran ni nukta ya kushuhudiwa mabadiliko muhimu yanayopelekea kudhoofika muungano wa Magharibi.
-
Kremlin: Putin yuko tayari kukutana na Zelensky kukamilisha makubaliano ya amani
Apr 23, 2026 09:41Ikulu ya Rais wa Russia, Kremlin, imeeleza kuwa Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo yuko tayari kukutana na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, lakini ikiwa mkutano wao utahusu suala la kusaini makubaliano ya amani.
-
Vita vya maneno vya Trump dhidi ya Papa, chanzo na matokeo yake
Apr 22, 2026 16:24Tofauti zilizozuka kati ya Trump na Papa Leo wa 14 hazitokani na masuala ya kisiasa pekee, lakini zimesababishwa zaidi na hulka ya majivuno na ya kujikweza aliyonayo rais huyo wa sasa wa Marekani.
-
Kwa Nini Trump Ameikasirikia NATO?
Apr 22, 2026 16:08Rais Donald Trump wa Marekani, kwa upande mmoja, analimezea mate eneo lote la ardhi ya Canada ambayo ni mwanachama wa NATO, na kwa upande mwingine, ameonyesha kuwa, ana dhamira ya kuinyakua sehemu kubwa ya ardhi ya Denmark, ambayo nayo pia ni mwanachama wa shirika hilo la kijeshi.
-
Sababu za Kuzidi Kuporomoka Umaarufu wa Israel Mbele ya Wamarekani
Apr 22, 2026 04:55Uchunguzi uliofanywa hivi karibuni na Kituo cha Utafiti wa Maoni ya Umma cha Pew, yanaonyesha kuwa umaarufu wa Israel mbele ya tabaka la vijana wa chama cha Democrat nchini Marekani umepungua kwa asilimia 31 na mbele ya vijana wa Republican kwa asilimia 22 kulinganisha na ilivyokuwa miaka minne iliyopita.
-
Makundi ya Kiislamu ya Marekani yatoa wito wa kuwachiwa huru kiongozi wa jumuiya ya Wapalestina
Apr 21, 2026 09:05Muungano wa mashirika ya kutetea haki za kiraia ya Kiislamu Jumatatu wiki hii ulikusanyika nje ya Mahakama ya Juu ya Marekani ukitaka kuachiwa huru haraka iwezekanavyo Salah Sarsour, kiongozi wa Jumuiya ya Wapalestina huko Milwaukee ambaye anaishi Marekani kwa zaidi ya miaka 30.
-
Waziri Mkuu mpya wa Hungary: Netanyahu atakamatwa kama ataingia nchini
Apr 21, 2026 07:46Péter Magyar Waziri Mkuu mpya wa Hungary, amesema kuwa iwapo Waziri Mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel ataingia nchini humo, atakamatwa kwa kesi ya uhalifu wa kivita.
-
Uongozi wa mashirika ya kidini na kisayansi ya Iran wapongeza msimamo wa Papa kuhusu vita vya Marekani na Israel
Apr 19, 2026 10:57Wenyeviti wa taasisi za kidini na kisayansi za Iran, katika barua ya pamoja kwa kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, wamepongeza "msimamo wake wa ujasiri" na kueleza matumaini kuwa utasaidia kumaliza migogoro inayoendelea.
-
Aljazeera: Trump anatafuta njia ya kutoka vitani kwa heshima
Apr 19, 2026 10:51Mwandishi wa kituo cha Aljazeera huko Washington anasema kuwa Rais Donald Trump Marekani anatafuta jinsi ya kutoka kwenye vita na Iran kwa njia ya heshima.
-
Wamarekani: Upungufu wa akili wa Trump umeongezeka
Apr 19, 2026 10:39Mshauri wa Mkuu wa zamani mkuu wa Ikulu ya White House wakati wa muhula wa kwanza wa Donald Trump ameonya kuwa upungufu wa akili wa rais wa Marekani umeongezeka kwa kiasi kikubwa.