-
Kamala Harris: Vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran ni jaribio la kuvuruga kesi ya Epstein
Apr 19, 2026 10:30Makamo wa zamani wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, anasema Rais wa sasa wa nchi hiyo Donald Trump alilazimika kuingia vitani na Iran akishirikiana na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, 'katika jaribio dhaifu la kupindisha na kupitisha mazingatio ya raia wa Marekani kutoka kwenye kesi ya Epstein.'
-
Kinara wa Liberal Democrats Uingereza asema Trump ni jambazi fisadi na hatari
Apr 15, 2026 08:12Mwanasiasa wa Uingereza amemtaja Donald Trump, rais wa Marekani, kuwa jambazi fisadi na hatari, na kusisitiza kuwa kitendo chake cha kuzingira Mlango-Bahari wa Hormuz kinaweza kuhatarisha usitishaji mapigano dhaifu kati ya Tehran na Washington.
-
Muigizaji wa Marekani: Trump anastahili kuwa gerezani sio White House
Apr 12, 2026 09:47Muigizaji mmoja wa Marekani amesema kwamba rais wa nchi hiyo, Donald Trump, anastahili kufungwa jela na siyo kuwa White House.
-
Muigizaji wa Marekani: Trump anastahili kuwa gerezani sio White House
Apr 12, 2026 09:47Muigizaji mmoja wa Marekani amesema kwamba rais wa nchi hiyo, Donald Trump, anastahili kufungwa jela na siyo kuwa White House.
-
Je, wimbi la kuuzuliwa makamanda wakuu jeshini nchini Marekani linaweza kuwa ushindi mwingine wa kistratijia kwa Iran?
Apr 06, 2026 07:52Wimbi la kutimuliwa makamanda wa ngazi za juu katika jeshi la Marekani kufuatia kushindwa kimkakati kwa nchi hiyo dhidi ya Iran limeibua mgogoro mkubwa zaidi wa kamandi katika Wizara ya Vita ya nchi hiyo, Pentagon.
-
Seneta wa Marekani: Mr. Trump, Mlango Bahari wa Hormuz haufunguliwi kwa matusi
Apr 06, 2026 02:27Seneta wa Marekani amekemea vitisho na matusi ya Rais wa nchi hiyo, Donald Trump dhidi ya Iran, akisema: Mlango Bahari wa Hormuz haufunguliwi kwa matusi na lugha chafu, bali ni lazima kufanya mazungumzo na Iran.
-
Madrid: Hatutadanganywa tena na Marekani; kwa uzoefu wa Iraq, hapana kwa vita ndio njia pekee
Apr 06, 2026 02:13Waziri Mkuu wa Uhispania amesisitiza kuwa nchi hiyo haitadanganywa tena na Marekani kuhusu vita dhidi ya Iran.
-
Maandamano ya kuunga mkono Iran kutoka London hadi Auckland
Apr 06, 2026 02:09Maandamano ya kulaani hujuma za kijeshi za Washington na Tel Aviv dhidi ya Iran yangali yanaendelea katika pembe mbalimbali za dunia.
-
WHO yalaani hujuma ya Israel na Marekani dhidi ya kituo cha nyuklia Iran
Apr 05, 2026 22:19Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amebainisha wasiwasi mkubwa kuhusu kuendelea kwa mashambulizi ya Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya kituo cha nyuklia cha Bushehr nchini Iran, akionya kuwa hatua hiyo inaweza kusababisha janga la nyuklia.
-
Marekani yapiga marufuku kuchapishwa picha za mashambulizi ya makombora ya Iran dhidi ya ngome za nchi hiyo
Apr 05, 2026 06:12Katika jitihada za kudhibiti picha za athari za mashambulizi ya makombora ya Iran dhidi ya ngome na vituo vyake, Marekani imepiga marufuku kuchapishwa na kuonyeshwa picha za setilaiti za maeneo yanayohusika katika vita dhidi ya Iran.