-
Maelfu waandamana Melbourne kulaani ziara ya rais wa 'Israel' nchini Australia
Feb 13, 2026 07:06Maelfu ya waandamanaji wanaounga mkono Palestina walipaza sauti na kufunga barabara kadhaa mjini Melbourne, chini ya ulinzi mkali wa mamia ya polisi, wakati Rais wa utawala haramu wa Israel Isaac Herzog akihitimisha ziara yake iliyokumbwa na utata mkubwa nchini Australia.
-
Kremlin: Russia haina mpango wa kushiriki mkutano wa 'Bodi ya Amani'
Feb 12, 2026 22:33Ikulu ya Russia ya Kremlin imethibitisha kwamba maafisa wa nchi hiyo hawana mpango wa kuhudhuria mkutano wa kwanza wa Bodi ya Amani (ya Gaza) uliopangwa kufanyika Februari 19 huko Washington.
-
Zaidi ya raia 2,000 wa UK wamepigana kwa niaba ya Israel katika mauaji ya halaiki Gaza
Feb 12, 2026 22:32Maelfu ya raia wa Uingereza wamehudumu katika jeshi la Israel wakati wa vita vya mauaji ya halaiki vya utawala huo wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Baada ya mkutano wake na Netanyahu, Trump asema mazungumzo na Iran inapasa yaendelee
Feb 12, 2026 03:01Rais wa Marekani Donald Trump ameeleza baada ya kukutana na waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu kwamba mkutano huo ulikuwa "mzuri sana" na akasema: "nimesisitiza kwamba mazungumzo na Iran inapasa yaendelee."
-
China: Marekani ndiyo sababu kubwa zaidi ya kuvurugika nidhamu ya nyuklia duniani
Feb 12, 2026 02:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ametoa mjibizo kwa madai ya Marekani kwamba nchi hiyo ilifanya jaribio la nyuklia mnamo mwaka 2020 na kusisitiza: "Marekani ndiyo chanzo kikubwa zaidi cha kuvurugika kwa nidhamu ya nyuklia duniani na utulivu wa kimkakati wa kimataifa."
-
Balozi wa Marekani katika NATO: Nchi za Ulaya wanachama wa NATO ni 'watoto wadogo'
Feb 11, 2026 23:01Balozi wa Marekani katika shirika la kijeshi la NATO Matthew Whitaker amewafananisha na watoto wanachama wa kambi ya Ulaya katika shirika hilo, ambao amesema ni lazima hatimaye waache kuwa chini ya malezi na matunzo ya mzazi wao wakatafute kazi.
-
Kashfa ya Epstein ilivyofichua mmomonyoko wa kimaadili katika nchi za Magharibi
Feb 11, 2026 22:59Wimbi la kujiuzulu linaloshuhudiwa huko Downing Street, kuanzia mkuu wa wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wa Uingereza hadi mkurugenzi wake wa mawasiliano, ni ishara za nje za mgogoro mkubwa wa kimaadili miongoni mwa wasomi na viongozi wa Magharibi.
-
Kengele ya hatari ya Russia kuhusu matokeo mabaya ya chokochoko yoyote dhidi ya Iran
Feb 11, 2026 06:59Serikali ya Russia imeonya kuhusu matokeo mabaya ya kuanzisha chokochoko yoyote dhidi ya Iran.
-
Rais wa Colombia asema amenusurika jaribio la mauaji
Feb 11, 2026 06:02Rais Gustavo Petro wa Colombia amesema alinusurika jaribio la mauaji jana Jumanne, baada ya miezi kadhaa ya maonyo kuhusu njama inayomlenga ya wafanyabiashara wa dawa za kulevya.
-
Maelfu waandamana Australia kupinga ziara ya rais wa utawala wa Israel
Feb 11, 2026 03:32Ziara rasmi ya rais wa utawala wa Israel, Isaac Herzog, nchini Australia ilikumbwa na maandamano makubwa siku ya Jumatatu, huku maelfu ya waandamanaji wakijitokeza katika miji kadhaa, hali iliyopelekea kuwepo makabiliano na polisi.