-
Waziri wa Ulinzi wa Pakistan: US ilipaswa kumteka Netanyahu, si Maduro
Jan 11, 2026 03:04Waziri wa Ulinzi wa Pakistan amesema "Marekani inapaswa kumteka nyara na kumshtaki katika mahakama yake yoyote ile Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu, ikiwa Washington ni rafiki halisi wa ubinadamu."
-
Maandamano makubwa yaendelea Marekani baada ya maafisa wa Trump kumuua kinyama mwanamke
Jan 10, 2026 23:03Maandamano makubwa yanaendelea katika kona zote za Marekani, kulaani sera za uhamiaji za Donald Trump, rais mbaguzi wa rangi wa nchi hiyo, hasa baada ya serikali yake kuwapongeza maafisa wake waliomuua kikatili mwanamke mmoja huko Minnesota na Portland na kujeruhi wengine wawili.
-
Kwa nini kunaibuka ufa baina ya Marekani na Ulaya?
Jan 10, 2026 22:59Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amekosoa mwelekeo wa sera za kigeni za Marekani hivi sasa na kusema hivi sasa Marekani imeanza hatua kwa hatua kujiweka mbali na waitifaki wake sambamba na kukiuka sheria za kimataifa.
-
Wananchi wa Korea Kusini waandamana kuunga mkono Palestina
Jan 10, 2026 08:40Raia wa Korea Kusini wamefanya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Seoul na kutangaza mshikamano wao na wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Trump: Kuna ulazima wa kunyakua Greenland kwa ajili ya usalama wa taifa wa Marekani
Jan 10, 2026 02:29Rais Donald Trump wa Marekani amedai kuwa kulitia mkononi eneo la Greenland ni jambo la dharura kwa ajili ya kulinda usalama wa taifa wa Marekani na kusema: Kunyakua Greenland yumkini kukafanyika kwa njia za amani au kwa kutumia mabavu.
-
Ukosoaji mkali zaidi kuwahi kufanywa na Ujerumani: Marekani inaigeuza dunia "pango la wezi"
Jan 09, 2026 23:02Rais Frank-Walter Steinmeier wa Ujerumani amezikosoa vikali sera za nje za Rais wa Marekani Donald Trump na kuutaka ulimwengu usiruhusu nidhamu ya dunia ikageuzwa kuwa "pango la wezi".
-
Wazimu wa kijeshi wa Marekani; Bajeti ya kijeshi ya dola trilioni 1.5 kwa mwaka 2027
Jan 09, 2026 23:02Rais Donald Trump ametangaza kwamba anakusudia kuongeza bajeti ya kijeshi ya Marekani hadi dola trilioni 1.5 ifikapo mwaka 2027.
-
Marekani ina ndoto gani kuhusu mafuta ya Venezuela?
Jan 09, 2026 10:52Kufuatia operesheni ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Venezuela, swali muhimu limeibuka: Washington ina mipango gani kwa ajili ya mafuta ya nchi hiyo?
-
Russia yashambulia viwanda vya kuunda droni za kijeshi nchini Ukraine
Jan 09, 2026 07:33Jeshi la Russia, katika kujibu hujuma ya Ukraine dhidi ya makao ya Rais Vladimir Putin, limetekeleza mashambulizi kadhaa dhidi ya vituo vya kuunda ndege za kivita zisizo na rubani au droni nchini Ukraine.
-
UN yasikitishwa na Trump kuiondoa Marekani katika taasisi za kimataifa
Jan 09, 2026 03:13Umoja wa Mataifa umesema umesikitishwa na hatua ya Rais wa Marekani, Donald Trump ya kutoa amri ya kuitoa nchi hiyo kwenye taasisi 66 za kimataifa, zikiwemo za UN.